Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kamanda, this is a big blow usijibaraguze. Mngempa Mr. Nyalandu nafasi ya ugombearais walau msingepiteza vitu vyote kasoro kikoja cha dawa, badala yaje mksmoa tundulissu disaster bin taab.Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya Cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. Chama Cha chadema kupitia Katibu wake Mkuu kimesema akitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wakuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya Cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. Chama Cha chadema kupitia Katibu wake Mkuu kimesema akitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wakuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Inahitaji moyo mgumu sana kuendelea kuwa nyumbu mwenye nywele.Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya Cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. Chama Cha chadema kupitia Katibu wake Mkuu kimesema akitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wakuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Kichwa cha habari na habari yemyewe haviendani dada!! Mbona habari inaonyesha wamemjibu lakini kichwa cha habari kinasema wameacha kujibishana naye??Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya Cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. Chama Cha chadema kupitia Katibu wake Mkuu kimesema akitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wakuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Si comment ya kiwango chako mama mkubwa.Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Si comment ya kiwango chako mama mkubwa.
Hata huyo katibu wako nisuala la mdaa tuuuuu.Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya Cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. Chama Cha chadema kupitia Katibu wake Mkuu kimesema akitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wakuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Kwahiyo CCM nao wanalipokea tena fisadi hili liitwalo Nya....ndu?Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Aliwavua nguo Dr. Slaa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Lowassa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Sumae UCHI wa CDM haukuonekana, wakawavua nguo kina Waitara, Nassary na kundi la wabunge na madiwani walio nunuliwa ili kuunga juhudi bado UCHI wa CDM haukuonekanaBora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu?. Tangu lini?Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Kwani ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi..shame on ccm..ok kaja kwenu mpeni hiyo nafasi agombeeKamanda, this is a big blow usijibaraguze. Mngempa Mr. Nyalandu nafasi ya ugombearais walau msingepiteza vitu vyote kasoro kikoja cha dawa, badala yaje mksmoa tundulissu disaster bin taab.
Kumbuka wimbo wa Shaaban Dede:
UNAJITANGAZA U MTENDA MEMA MENGI KUJISIFIA, YA UONGO. WATOTO WAMEKIMBIA UMEBAKI NA WAJUKUU, NAO WATASAMBAA. ILIYOBAKI NITAMWULIZA SHEMEJI KUNA KASORO GANI, HAPO NYUMBANI.
EEEEEEE IIIIIIII, POLE MUZEHE x3
Duh! Mama B umechafukwa hadi kuamua kutoa yote ya moyoni jaman!Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Hujui kuandika..Kamanda, this is a big blow usijibaraguze. Mngempa Mr. Nyalandu nafasi ya ugombearais walau msingepiteza vitu vyote kasoro kikoja cha dawa, badala yaje mksmoa tundulissu disaster bin taab.