Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Hahaahaaa ..ha!
Una mashaka wanaweza kutwa na vibamia?
Hiiiiii bagosha!