Aliwavua nguo Dr. Slaa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Lowassa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Sumae UCHI wa CDM haukuonekana, wakawavua nguo kina Waitara, Nassary na kundi la wabunge na madiwani walio nunuliwa ili kuunga juhudi bado UCHI wa CDM haukuonekana
Atakuja kuwavua Nyalandu sanasana anajivua mwenyewe kwa kuramba matapishi yake mwenyewe anatutia kichefuchefu tu
Sikuzote ukilamba matapishi mbele za watu kichefuchefu wanapata wanao kutazama, na hatimae wanakuona mchafu tu, mwisho wa siku wataanza kuogopa na kukaa mbali na wewe kwa sababu ipo siku unaweza kuramba mavi yako mwenyewe uwatapishe kabisaaa
Nasemaje CCM imekua kama jibwa Koko linalobwekea Nyumbani kwao likitoka nje linafyata mkia linauficha tumboni linabaki linabweka nyuma ya Dola na Tume Yao ya Kujichagua
Kama kweli CDM imewahi kuvuliwa nguo na CCM uwekwe uchaguzi Huru na Haki uone habari yake kama CCM hawajaukimbilia wenyewe waukalie, kama Mbwa vile anavyomkimbilia akimuona CHATU na kwa bahati nzuri hilo wanalifamu fika kuwa siku wakiuona UCHI wa CDM wamekwisha ndio maana kubweeeka koooote huko utakuta wanabweka nyuma ya Dola na Tume