CHADEMA yaamua kutojibizana na Nyalandu, ni jambo la wakati

Hiyo inaitwa sizitaki mbichi hizi. Hapo ni baada ya juhudi zote kugonga ukuta
 

Ukiona anayeaibika yeye haoni aibu ujue ana shida ya akili, ni kama vile mwenewazimu kichaa akivua nguo wanaomtazama huona aibu ila yeye anadunda tuu


Duh! Mama B umechafukwa hadi kuamua kutoa yote ya moyoni jaman!
Wanachefua hawaaa

Hivi baada ya lile sakata la Richmond mtu mwenye utu, mzalendo na aliyefundwa anaweza kwenda kumsafishaje lowasa?

Hawakuona aibu kuwaambia wananchi lowasa ni msafi, hawatokaa waoene aibu tena.... wamejitoa ufahamu🙄🙄
 
Wanafiki wanaficha Monaco wafanya waone upinzani mgumu wanaongea tumbo tu,wangesema uwanja wa siasa hauko fare basi tungewaelewa
 
Kwa hiyo bora chama kife tuu sababu kimepoteza dira & muelekeo!
 
Kaoge akili irudi
 
Jiwe kashazikwa, chezea muumba wewe
 
Wa kuoga akili ni chadema.... tena waoge na Jik ni wale mliodemkia kutumbuliwa kwa lowasa kwa ufisadi wake
Kisha wakamwomba wampe nafasi ya kuwa rais kupitia chama chao
Binafsi hii kitu nikiifikiria huwa napata ukakasi sana, ila mwenye chama chake alituambia hiyo ndio siasa
 
Siri ya mchezo! Chadema knows better
 
Nyarandu alikuwa mwizi mkubwa mpaka akafikia level za kupandisha Twiga ndege mchana kweupe. Hili UPINZANI ulilikemea kwa sauti kubwa.Ghafla jamaa akaja kujoin na kupokelewa.

Nadhani uamuzi wa kumute na kutopigishana nae kelele ni sahihi kabisa maana Nyalandu has everything to gain kama vita hii ya kitoto itaendelea
 
ugombearais walau msingepiteza vitu vyote kasoro kikoja cha dawa, badala yaje mksmoa tundulissu disaster bin taab.[emoji848][emoji848][emoji848]
If you think education is expensive try ignorance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…