Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Ila mbona CDM ndio anaonekana kuwa mhanga sana? hata sajili zake nyingi ndani ya hii miaka 10 iliyopita - hazina afya kabisa kwa maendeleo & future ya chama.!Siri ya mchezo! Chadema knows better
hongera sana, bora uwe mzalendo km mimi kuliko kuegemea vyama mwisho wa siku unatawaliwa na kuendeshwa na mihemko mikali mithili ya mbogo aliye jeruiwa. Keep it up.
Hahaahaaa ..ha!
Una mashaka wanaweza kutwa na vibamia?
Hiiiiii bagosha!
Ila sio mbaya, ALL IS WELLNimejiunga jf siku nyingi ila nimekua kwenye hili jukwa kwa miaka ya hivi karibuni tuu
Kwakweli.Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Haya kakae na mavi yako nyumbani-Mwendazake.Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Ulishawahi kuona mtu akitoka CCM na kujiunga TLP? Wote wanaotoka CCM hujiunga na CDM. Kwa nini? Hii ni kwa sababu CDM ina nguvu kisiasa na coverage kubwa miongoni mwa watanzania. Hicho ndicho kinachokikosesha usingizi CCM na Serikali yake usiku na mchana wakitumia mbinu mbalimbali kukiua CDM. Huwezi kusikia Serikali ikipambana na vyama dhaifu kama TLP, NCR-Mageuzi au ACT. Isipokuwa pale vijivyama hivyo vikijaribu kuonesha nia ya kuungana na CDM vita huibuka toka CCM na Serikali yake. Kwa hiyo usijidanganye wala kujifariji ati CDM haijitambui. Pengine wewe ndo hujitambui.Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Sijui itakuaje
Haya kakae na mavi yako nyumbani-Mwendazake.
Chadema ni kichakaUlishawahi kuona mtu akitoka CCM na kujiunga TLP? Wote wanaotoka CCM hujiunga na CDM. Kwa nini? Hii ni kwa sababu CDM ina nguvu kisiasa na coverage kubwa miongoni mwa watanzania. Hicho ndicho kinachokikosesha usingizi CCM na Serikali yake usiku na mchana wakitumia mbinu mbalimbali kukiua CDM. Huwezi kusikia Serikali ikipambana na vyama dhaifu kama TLP, NCR-Mageuzi au ACT. Isipokuwa pale vijivyama hivyo vikijaribu kuonesha nia ya kuungana na CDM vita huibuka toka CCM na Serikali yake. Kwa hiyo usijidanganye wala kujifariji ati CDM haijitambui. Pengine wewe ndo hujitambui.
Mama unataka kupanuliwa?-ShujaaSasa kama alikua anamjibu aliyekua anaongelea mavi alitakiwa kumwambia akakae na chips kuku
Hilo jibu lilikua muendelezo wa alichowasilisha mjibiwa
Ila JPM buana, hukuaga na konakona ndio maana kigamboni kulikua na option ya kupiga mbizi😂😂😂
Endelea kulala salama Mwamba🙏
Mama unataka kupanuliwa?-Shujaa
Hakikaa shujaa aliwapanua sana.Ulitupanua sana akili Shujaa JPM
Hakikaa shujaa aliwapanua sana.
Nasema hivi hawa wananchi wa Kimara wabomoleeni nyumba zao ila wananchi wa Mwz msiwabomolee maana wale ni wapiga kura wanguuuuuuuuu-Shujaa.
Nafurahi saaana.Sanaaaa tuu
Kwani wewe Unaumia?
Nafurahi saaana.
ATCL imepata faida na imetoa gawiwo serikalini-Shujaa