Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,768
- 5,089
Kwa hio shujaa alikua kasuku kusema ATCL imepata faida na kugawa gawio sio?Unapoongelea faida na hasara lazima ujue mpango biashara na breakeven yake
Usiwe kasuku
Kwa hio shujaa alikua kasuku kusema ATCL imepata faida na kugawa gawio sio?
Shujaa hakujua mambo ya break even aisee.
Maelezo yake kule Clouds, inaonesha alikwenda kuusaka Urais, hivyo kaukosa sasa naona kaamua kurudi kwao. Yaani CDM ni sehem ya watu kujipima uzito, maana fursa hiyo wasingepewa hata nafasi. Anyway, yote aliyoyasema hayana jipyaKamanda, this is a big blow usijibaraguze. Mngempa Mr. Nyalandu nafasi ya ugombearais walau msingepiteza vitu vyote kasoro kikoja cha dawa, badala yaje mksmoa tundulissu disaster bin taab.
Kumbuka wimbo wa Shaaban Dede:
UNAJITANGAZA U MTENDA MEMA MENGI KUJISIFIA, YA UONGO. WATOTO WAMEKIMBIA UMEBAKI NA WAJUKUU, NAO WATASAMBAA. ILIYOBAKI NITAMWULIZA SHEMEJI KUNA KASORO GANI, HAPO NYUMBANI.
EEEEEEE IIIIIIII, POLE MUZEHE x3
Haya binti kakae na mavi yako nyumbani.Kasuku ni wewe unayeimba hapa
Nadhani sababu kubwa ni kuwa Chadema wamekuwa wakipokea takataka zote mradi tuu, Unaweza kuchangia kuendesha mkutano mkuu wa uchaguzi Mlimani City.Ulishawahi kuona mtu akitoka CCM na kujiunga TLP? Wote wanaotoka CCM hujiunga na CDM. Kwa nini? Hii ni kwa sababu CDM ina nguvu kisiasa na coverage kubwa miongoni mwa watanzania. Hicho ndicho kinachokikosesha usingizi CCM na Serikali yake usiku na mchana wakitumia mbinu mbalimbali kukiua CDM. Huwezi kusikia Serikali ikipambana na vyama dhaifu kama TLP, NCR-Mageuzi au ACT. Isipokuwa pale vijivyama hivyo vikijaribu kuonesha nia ya kuungana na CDM vita huibuka toka CCM na Serikali yake. Kwa hiyo usijidanganye wala kujifariji ati CDM haijitambui. Pengine wewe ndo hujitambui.
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Aliwavua nguo Dr. Slaa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Lowassa UCHI wa CDM haukuonekana, akawavua nguo Sumae UCHI wa CDM haukuonekana, wakawavua nguo kina Waitara, Nassary na kundi la wabunge na madiwani walio nunuliwa ili kuunga juhudi bado UCHI wa CDM haukuonekana
Atakuja kuwavua Nyalandu sanasana anajivua mwenyewe kwa kuramba matapishi yake mwenyewe anatutia kichefuchefu tu
Sikuzote ukilamba matapishi mbele za watu kichefuchefu wanapata wanao kutazama, na hatimae wanakuona mchafu tu, mwisho wa siku wataanza kuogopa na kukaa mbali na wewe kwa sababu ipo siku unaweza kuramba mavi yako mwenyewe uwatapishe kabisaaa
Nasemaje CCM imekua kama jibwa Koko linalobwekea Nyumbani kwao likitoka nje linafyata mkia linauficha tumboni linabaki linabweka nyuma ya Dola na Tume Yao ya Kujichagua
Kama kweli CDM imewahi kuvuliwa nguo na CCM uwekwe uchaguzi Huru na Haki uone habari yake kama CCM hawajaukimbilia wenyewe waukalie, kama Mbwa vile anavyomkimbilia akimuona CHATU na kwa bahati nzuri hilo wanalifamu fika kuwa siku wakiuona UCHI wa CDM wamekwisha ndio maana kubweeeka koooote huko utakuta wanabweka nyuma ya Dola na Tume
Jiwe kashazikwa, chezea muumba wewe
Nyalandu amejivua nguo hadharani. Kwa alivyoisema CCM kipindi kile Ni bora angerudi lkn asiongee kitu hadharani.
Mungu ibariki ChademaKama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki kwa sababu msingi wa kuundwa kwa chama hicho nikusimamia mapambano ya haki, Demokrasia na maendeleo ya watu.
Sio yeye tu. Tumewapokea wengi lkn tunajua jinsi ya kukaa nao huku wanatupa uozo wa CCM.lakini si mlimpokea ama hamkujua katoka ccm?
Nawe pia kaa na yakoHaya binti kakae na mavi yako nyumbani.
Sio yeye tu. Tumewapokea wengi lkn tunajua jinsi ya kukaa nao huku wanatupa uozo wa CCM.
Kuna aliyeshika Dola nchi hii Kama Bashiru na mwendazake?basi endeleeni kupokea sisi acha tuendelee kushika dola
Ccm waliompokea fisadi+msaliti wao tena wanasemajee ??Bora wanyamaze wasije vuliwa nguo zote
Chama gani kisichojielewa na kujifunza toka kwenye makosa ya wenyewe!? Wanapinga ufisadi halafu mafisadi wakinyimwa uongozi kule wanawapokea na kuwasafisha bila haya wala aibu!!
TLP ni heri mara mia kuliko chadema
Ccm waliompokea fisadi+msaliti wao tena wanasemajee ??
Kuna aliyeshika Dola nchi hii Kama Bashiru na mwendazake?
Bashiru alikua habari ingine. Imagine aliweza kumhoji Makamba na Kinana, mawaziri walikua wanamtetemekea, karibu wabunge wote wa Sasa Ni yeye aliyewateua. leo hii Yuko level moja na mzee Halima.
It is just a matter of time