CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Chadema walimtuma nani kwenda kupiga kampeni ndani ya CCT? Wangepenyeshaje watu wao ilihali mgeni wa mkutano alikuwa mwenyekiti wa chama chetu CCM?

Wataje hao Wachadema kwa majina yao na jinsi walivyotekeleza mpango wao kupenyeza watu wao.
 
Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
Mkuu kwa taratibu za CCM Rais ni lazima awe Mwenyekiti wa CCM, hivyo pale alikuwa na kofia ya Mwenyekiti pia, ila kama Rais angekuwa wa ACT Wazalendo Nd Membe au wa CDM Nd. Lisu, hoja yako ingekuwa sahihi 100%.
 
Baada ya kipigo cha Magufuli CDM inahitaji kama miaka kumi kurecover, mifereji ya hela yote ilikatwa, wafadhili wakabanwa, viongozi wakasambaratika. Sasa inabidi waanze upya tu. Kama mbabe Lema kakimbia nje kwenda kuuza Supermarket basi ujue mambo ni magumu.
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ulitaka Malasusa awe Mwenyekiti?
 
Mbona iko wazi bwashee!

Rais siyo lazima awe mwenyekiti wa CCM kwa mujibu wa katiba ya JMT!
Ili ccm ibaki madarakani, lazima mwenyekiti wake awe rais. Ccm haina uwezo tena wa kutawala nchi hii kwa ushawishi wa kisiasa, lazima cheo cha urais kiagize vyombo vya dola kuibeba ccm.
 
Baada ya kipigo cha Magufuli CDM inahitaji kama miaka kumi kurecover, mifereji ya hela yote ilikatwa, wafadhili wakabanwa, viongozi wakasambaratika. Sasa inabidi waanze upya tu. Kama mbabe Lema kakimbia nje kwenda kuuza Supermarket basi ujue mambo ni magumu.
Sasa Chadema na Magufuli nani kapokea kipigo?
 
Ili ccm ibaki madarakani, lazima mwenyekiti wake awe rais. Ccm haina uwezo tena wa kutawala nchi hii kwa ushawishi wa kisiasa, lazima cheo cha urais kiagize vyombo vya dola kuibeba ccm.
Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM Rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama.

Unakuwa Rais kwanza.
 
Back
Top Bottom