CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM Rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama.

Unakuwa Rais kwanza.
Iweke utakavyo, lakini madaraka ya urais kwa mwenyekiti wa ccm ndio nguzo halisi ya ccm. Siku vyeo hivi vinatenganishwa, ccm itaungana na KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia nk kwenye historia.
 
Iweke utakavyo, lakini madaraka ya urais kwa mwenyekiti wa ccm ndio nguzo halisi ya ccm. Siku vyeo hivi vinatenganishwa, ccm itaungana na KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia nk kwenye historia.
Vitatenganishwa na nani?

Hata Mbowe alikuwa KUB kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa Chadema wala hakupigiwa kura na akina Lema.
 
Vitatenganishwa na nani?

Hata Mbowe alikuwa KUB kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa Chadema wala hakupigiwa kura na akina Lema.

Lakini Mbowe hakugombea urais akiwa mwenyekiti. Acha kutoa mifano irrelevant boss kutetea utoto wako.
 
Lakini Mbowe hakugombea urais akiwa mwenyekiti. Acha kutoa mifano irrelevant boss kutetea utoto wako.
2005 Mbowe alikuwa na cheo gani hapo Ufipa?

Au wewe ulikuwa bado uko migombani unalea nguruwe!!
 
..haitabadilisha chochote.

..CCM wamejisimika ktk tume ya uchaguzi, mahakama, polisi, na tiss.
 
Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii

Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.

Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Haijawahi kuwepo tofauti kati ya CHADEMA na CCT mara zote CHADEMA ni CCT na CCT ni CHADEMA
 
2005 Mbowe alikuwa na cheo gani hapo Ufipa?

Au wewe ulikuwa bado uko migombani unalea nguruwe!!

Kama hiyo ndio ilikuwa formula ya uenyekiti kuendana na urais, mbona haikuendelea kugombea ili abalance equation? Wakati Mbowe anagombea hiyo 2005, nilikuwa bado mitunduruni huko Singida nalima alizeti na Karanga.
 
... kwa hiyo uenyekiti wa CCM aliuacha ofisini? At that moment akiwa pale kwenye mkutano wa CCT ungeulizwa mwenyekiti wa CCM taifa ni nani jibu lingekuwa nini?
Achana na hilo Taga litakupotezea muda wako kwani halina lolote zaidi ya kuwa mlinzi wa nyumba ya ndugai kule tegeta!
 
Back
Top Bottom