Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Acha bangeNaona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mkuu wakate RUFAA kwani Uchaguzi huo haukuwa huru na wahaki kama ule wa 2021?Maadam Uzi umeachwa basi bila shaka lazima tuujadili , ni hivi , waambie Malasusa na Pengo wakate rufaa
Comrade naona umefurahi sana kuona mali za majirani zako wakinga zikiibiwa na wahuni wa kariakoo.Bwashee nilikuona Kariakoo jana usiku unatokomea na " sandarusi"
Hahahaaaa.......!
Chadema walimtuma nani kwenda kupiga kampeni ndani ya CCT? Wangepenyeshaje watu wao ilihali mgeni wa mkutano alikuwa mwenyekiti wa chama chetu CCM?Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mkuu kwa taratibu za CCM Rais ni lazima awe Mwenyekiti wa CCM, hivyo pale alikuwa na kofia ya Mwenyekiti pia, ila kama Rais angekuwa wa ACT Wazalendo Nd Membe au wa CDM Nd. Lisu, hoja yako ingekuwa sahihi 100%.Aliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
Tupe tofauti hapoAliyehudhuria ni Rais wa JMT siyo mwenyekiti wa CCM bwashee!
Asee mimi nawaomba mnipe hiyo fursa ya kumzibua🤗Mleta mada CHADEMA inakunyima kujamba?
Njoo uzibuliwe..!!
Ulitaka Malasusa awe Mwenyekiti?Naona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mbona iko wazi bwashee!Tupe tofauti hapo
Kwani Dr Malasusa aligombea?Ulitaka Malasusa awe Mwenyekiti?
Kama ulivyozibuliwa!Asee mimi nawaomba mnipe hiyo fursa ya kumzibua🤗
Si ndiyo CCM mwenzakoKwani Dr Malasusa aligombea?
Ili ccm ibaki madarakani, lazima mwenyekiti wake awe rais. Ccm haina uwezo tena wa kutawala nchi hii kwa ushawishi wa kisiasa, lazima cheo cha urais kiagize vyombo vya dola kuibeba ccm.Mbona iko wazi bwashee!
Rais siyo lazima awe mwenyekiti wa CCM kwa mujibu wa katiba ya JMT!
Sasa Chadema na Magufuli nani kapokea kipigo?Baada ya kipigo cha Magufuli CDM inahitaji kama miaka kumi kurecover, mifereji ya hela yote ilikatwa, wafadhili wakabanwa, viongozi wakasambaratika. Sasa inabidi waanze upya tu. Kama mbabe Lema kakimbia nje kwenda kuuza Supermarket basi ujue mambo ni magumu.
Wacha ukali mpe jamaa kishimo hicho umepewa bure nawe utoe bure.Kama ulivyozibuliwa!
Kama wewe unavyokigawa hapo Ufipa!Wacha ukali mpe jamaa kishimo hicho umepewa bure nawe utoe bure.
Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM Rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama.Ili ccm ibaki madarakani, lazima mwenyekiti wake awe rais. Ccm haina uwezo tena wa kutawala nchi hii kwa ushawishi wa kisiasa, lazima cheo cha urais kiagize vyombo vya dola kuibeba ccm.