Iweke utakavyo, lakini madaraka ya urais kwa mwenyekiti wa ccm ndio nguzo halisi ya ccm. Siku vyeo hivi vinatenganishwa, ccm itaungana na KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia nk kwenye historia.Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM Rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama.
Unakuwa Rais kwanza.
Vitatenganishwa na nani?Iweke utakavyo, lakini madaraka ya urais kwa mwenyekiti wa ccm ndio nguzo halisi ya ccm. Siku vyeo hivi vinatenganishwa, ccm itaungana na KANU ya Kenya, UNIP ya Zambia nk kwenye historia.
Vitatenganishwa na nani?
Hata Mbowe alikuwa KUB kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa Chadema wala hakupigiwa kura na akina Lema.
bwana mdogo tulia tukuzibueKama ulivyozibuliwa!
Kama wewe ulivyotulizwa na wazibuaji hapo Ufipa!bwana mdogo tulia tukuzibue
2005 Mbowe alikuwa na cheo gani hapo Ufipa?Lakini Mbowe hakugombea urais akiwa mwenyekiti. Acha kutoa mifano irrelevant boss kutetea utoto wako.
Haijawahi kuwepo tofauti kati ya CHADEMA na CCT mara zote CHADEMA ni CCT na CCT ni CHADEMANaona Chadema wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata vyuo vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa haki na amani.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ukali wa sindano nyuma uzi unaingia kiulaiiiini,mpe jamaa akupasue. Mimi nawapasua wana CCM wenye kiherehere kama wewe. Mpe jamaaKama wewe unavyokigawa hapo Ufipa!
Kama unavyopasuliwa na Mwalimu hapo Ufipa!Ukaliwa sindano nyuma uzi unaingia kiulaiiiini,mpe jamaa akupasue. Mimi nawapasua wana CCM wenye kiherehere kama wewe. Mpe jamaa
Hahahaaaa.......!Haijawahi kuwepo tofauti kati ya CHADEMA na CCT mara zote CHADEMA ni CCT na CCT ni CHADEMA
2005 Mbowe alikuwa na cheo gani hapo Ufipa?
Au wewe ulikuwa bado uko migombani unalea nguruwe!!
Achana na hilo Taga litakupotezea muda wako kwani halina lolote zaidi ya kuwa mlinzi wa nyumba ya ndugai kule tegeta!... kwa hiyo uenyekiti wa CCM aliuacha ofisini? At that moment akiwa pale kwenye mkutano wa CCT ungeulizwa mwenyekiti wa CCM taifa ni nani jibu lingekuwa nini?
Mimi niko Machame bwashee jirani kabisa na afande shoo!Achana na hilo Taga litakupotezea muda wako kwani halina lolote zaidi ya kuwa mlinzi wa nyumba ya ndugai kule tegeta!