CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

Kuna tofauti ya wanaccm maslahi na wananchi. Jitahidi kutenganisha hayo makundi mawili tafadhali.
Subiri October ndiyo utaelewa watz. Nakuomba ukapige kura mkuu October.
 
Serious siku CHADEMA wakiwa Serious na KUACHANA na SIASA nyepesi nyepesi hii wataweza kudai iyo Tume .

CCM wanajua wanachokifanya , CCM walishawambia wana Dola naivo wapo upande wa FAIDA.

Nilitegemea kuona Sauti ikisikika , nilitegemea kuona Wale wabunge kutumia Ubunge wao ktk majimbo kushawishi WATU,,kutoa hamasa na uamsho ambao umefifia .

Sasa mnatumia bajeti yenu, kutengeneza Vikalamu ,...????

Sibora mngetengeneza vipeperushi vyenye kuelezea kindani ndani zaidi umuhimu wa kudai Tume, Katiba, na namna gan mwananchi anaweza kuipaza sauti yake kudai ilo?????.
 
View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema
Hapa sasa sawa!
Hata mimi nawaunga mkono, tumieni rudhuku na michango ya wanachama kwa mbinu za kisasa, cyo kuandamana, kuitisha mikutano isiyo halali, na kutukana serikari au kufanya vurugu ktk majeshi.

Nawaunga mkono chadema kwa mbinu hizi100%.
Siasa safi ndio hizi.
 
Subiri October ndiyo utaelewa watz. Nakuomba ukapige kura mkuu October.

Watz wapi? Kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura tumeona idadi, au mna watanzania wenu sisi tusiowajua? Ingekuwa mnategemea kura za watanzania tusingeona hilo box la kura likinajisiwa.
 
Hapa sasa sawa!
Hata mimi nawaunga mkono, tumieni rudhuku na michango ya wanachama kwa mbinu za kisasa, cyo kuandamana, kuitisha mikutano isiyo halali, na kutukana serikari au kufanya vurugu ktk majeshi.

Nawaunga mkono chadema kwa mbinu hizi100%.
Siasa safi ndio hizi.

Nasisitiza, rudi shule ukajifunze kuandika pls.
 
View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema

Haya majambazi ya CCM yasivo kuwa na akili yanaweza sema hizi kalamu ni "UCHOCHEZI"!!
Magufuli na CCM yake lazima ajue hitaji la TUME HURU YA UCHAGUZI Ni kwa kila Mtz Mzalendo anayependa Amani ya nji yetu..!!!
 
Unasema Tume Huru TZ..... Kuna mtanzania yuko maporini uko , hajui Tume Huru TZ ni ninn....

Kuna mwingine Tume anaijua, lkn hajui umuhimu wowote wa Tume , kwake Tume ni Tume .

Ivi unategemea vimaneno "Tume huru TZ" vinaweza amsha Hari kiasi kwamba kukawepo na vuguvugu kwenye jamii??????

Watu wanataka waonyeshwe, yaan nikm unamchorea picha Kiziwi, nikm kumpigia nyimbo tamu Kipofu...kila mmoja ajue .

Yaan hata Mimi, Unipe kalamu yako iloandikwa "Tume Huru TZ"... Utegemee nipambane na CCMDOLA kisa uto tumaneno?????

Mtasubiri sana!!!!.... Namuona Zitto akichukua majukumu ya CHADEMA ya Zamani , tena yeye anayavaa wakati mgumu na mwisho wasiku ndiye ataonekana mwenye chama chake kikuu cha upinzani TZ.
 
Maoni yangu nikwamba peni na mask hazitaleta Tija kumshawishi Magu kwaajili ya Tume Huru.
Kama viongozi wanahisi Hiyo ndio njia na mbinu yakisasa kuna shida mahala kwenye namna yetu yakufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri October ndiyo utaelewa watz. Nakuomba ukapige kura mkuu October.
Tunga sentensi kuhusu picha hii ya octoba 2015 Masaki Jijini Dar es salaam
2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg
 
Back
Top Bottom