Sihitaji kusaidiwa na nyie.,.Sana Sana Mimi nawahurumia tu mnavyopata taabu na hicho kinachoitwa tume huru...yaani ni wazi inaelekea hamna strategies kabisa namna ya kufikisha ujumbe kwa wananchi...yaani mwananchi anawauliza mfafanue eti jibu lenu ni Tume ya warioba ambayo eti ilipita Kila Kijiji...you guys you are not serious at all...mmesikia kwa mabeberu kuhusu Tume huru na nyie mnaimba hivyo hivyo...mwanachi anawauliza more details nyie mnajibu kwa kejeli eti wewe mwanachi unatoka Kijiji gani.,yaani hamna hata diplomacy ...hoja zenu ni za kibabe kibabe...yaani happy jf ilikuwa nafasi ya nyie kutiririka kuhusu details za kinachoitwa na siyo kujibu kwa kejeli kuwa Tume ya Warioba ilifafanua Kila kitu na ambayo ni ya miaka karibu nane iliyopita....nyie ndugu zetu hamna approach nzuri kwa wapiga kura na wananchi kwa ujumla wake...mnatanguliza uanaharakati zaidi...hamtaki kuelimisha wananchi...mnadhani nyie mnaelewa zaidi kuliko wananchi wengine...wote wasiokubaliana nanyi mnawaona ni hopeless kabisa na kwamba hawajui kitu...lakini ndani ya upjnzani Kuna baadhi wanna uelewa mzuri ila nadhsni wanazidiwa na wanaharakati...yaani unawaona kiongozi wanakwenda gerezani kutaka kufungua gate kwa nguvu. utadhani ni zile movie za prison break...wanaumizwa halafu wanasema wanaonewa...dah...hivi chama hiki kikubwa Cha upjnzani nchini mwetu kwa Sasa ni mbadala kweli wa CCM...No way...hamuwexi kukabidhiwa dola kwa tabia hi...come 2020 general elections, and all things being equal, Hilo li- CCM...litashinda kwa zaidi ya asilimia 90...wabunge wa upjnzani kwa Bara watakaoshinda hawatazidi kumi.,