Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Hamna lolote hii ni biashara tu.
We niondolee utopolo ,kwahyo imekuwa kosa kuuliza tume huruUnaishi nji gani bwashee?
Kama hujui Ni Tume HURU ya jitu gani jiondoe kwene mjadala huu haukufai...!!
Hebu tufafanuliwe huo muundo wa tumefanya huru...fafanueni kuhusu composition yake ...na uteuzi wa tume hiyo inayoitwa huru...pia mfafanue kwanini tume ya Sasa mnaona siyo huru...haitoshi tu kusema tume huru ...fafanua zaidi ili watu waelewe....
We niondolee utopolo ,kwahyo imekuwa kosa kuuliza tume huruUnaishi nji gani bwashee?
Kama hujui Ni Tume HURU ya jitu gani jiondoe kwene mjadala huu haukufai...!!
Kwani kina limitation mkuu ya kudai mabadiriko?Rushwa hiyo kuelekea uchaguzi mkuu. Haya wenzenu wakianza nao kuchapisha tisheti na kanga msipige kelele. Hiyo tume huru mmeijua leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
We niondolee utopolo ,kwahyo imekuwa kosa kuuliza tume huru
Hebu ww mwandishi mzuri nieleze niwapi nimeandika vibaya.Nasisitiza, rudi shule ukajifunze kuandika pls.
Kujiangusha ndani ya penalty box dk ya 88 ili uhurumiwe upate goal wakati huna uwezo wa kufunga.View attachment 1394118
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .
Mungu ibariki Chadema
Hebu ww mwandishi mzuri nieleze niwapi nimeandika vibaya.
Asiyejua maana haambiwi maana...!!!
Kama hujui TUME HURU INAUNDWAJE NA INAHUSISHA VITU GANI Kaa kimya..!!!
Watz na dunia inajua CCM ndiyo mlivuruga Bunge Maalunlmu la Katiba kwasababu hiihii ya Kutaka KUZUIA MABADILIKO AMBAYO YANGEHUSISHA NA UUNDWAJI WA TUME HURU...!!
Tunajua CCM NA SERIKALI yenu mnangangania hii Katiba inayobeba TUME ISIYO HURU inayowabeba kwenye Chaguzi zisizo HURU, KIHUNI na KIBABE. !!!!
Neno sahihi ni ruzuku, na sio rudhuku, hakuna neno serikali, bali serikali.
Sasa hum jf mnataka nyie machadema tuandikaje? Tukikosoa ni kosa, tukipongeza napo Turudi shule! Sasa mnataka tuandike mnayotaka?Hebu ww mwandishi mzuri nieleze niwapi nimeandika vibaya.
We nawe siuwaunge mkono tu? Make ukikosoa ni MATUSIHapo ndipo lilipo tatizo la upinzani nchini mwetu...kudhani kuwa kila mmoja kwa maana ya kila mtanzania anafahamu mambo yote ya siasa...baadala ya kujikita katika kutoa Civic education au elimu ya uraia kwa wananchi nyie mmekalia ubishi...unafikiri mwananchi wa kijijini ndani kabisa anaelewa Nini kuhusu tume huru??!! Hopeless kabisa...baadala ya kuchukua ushauri mnakaa mnapinga each and everything...yaani nyie ndio werevu...haya endeleeni kuvaa hivyo vi-mask vya 'tume huru' muone Kama watavaa watu wengi...
Ona huyu naye! Anajamba harafu anafunika pua! Ulichorekebisha wewe ninini sasa! Angalia hapo chini! Mina wambia mtakuwa na raana ya cyo bure.Kuna watu shule imewapita pembeni sana au huwa wanajitamkia maneno tu bila ya kuelewa hata yana andikweje...!!!
Kujiangusha ndani ya penalty box dk ya 88 ili uhurumiwe upate goal wakati huna uwezo wa kufunga.
Hapo ndipo lilipo tatizo la upinzani nchini mwetu...kudhani kuwa kila mmoja kwa maana ya kila mtanzania anafahamu mambo yote ya siasa...baadala ya kujikita katika kutoa Civic education au elimu ya uraia kwa wananchi nyie mmekalia ubishi...unafikiri mwananchi wa kijijini ndani kabisa anaelewa Nini kuhusu tume huru??!! Hopeless kabisa...baadala ya kuchukua ushauri mnakaa mnapinga each and everything...yaani nyie ndio werevu...haya endeleeni kuvaa hivyo vi-mask vya 'tume huru' muone Kama watavaa watu wengi...