CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

Wewe huna nia ya kujifunza chochote , unalenga kusumbua tu .
 
Jiwe atake asitake tume huru lazima kwa msaada mkubwa wa mabeberu, Jiwe mwaka huu atakuwa tope kwelikweli.
 
View attachment 1394118

Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema
Kwa hiyo hapo wako Hi-Tech! Very illogical CHADEMA. Tatizo siyo kudai tume huru, ni kudai tume mwaka wa uchaguzi. Lakini pia kuna mambo ya msingi yanayoweza kudaiwa kuliko hata tume ya uchaguzi. Ipo sheria ya kuzuia matokeo ya rais kupelekwa mahakamani. Kwa jinsi ilivyo, hakuna upinzani unaoweza kuingia ikulu. CHADEMA wanafahamu na wako kimya na badala yake wanapiga kelele na tume huru. Ninavyowaelewa, wanawinda kuingia bungeni tu, waendelee na ajira zao za upigaji. CDM hawako serious na siasa. ni biasahara tu.
 
Kwa hivyo sisi wanakijiji mazuzu hatujui nini tume huru ya uchaguzi? Tunajitambua , the revolutuion would be televised.
 
Huna hoja wewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…