CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Natamani ningepewa kila upande wa familia mtoto mmoja na hata mbowe mwenyewe Kama anamtoto anayesoma mdogo nipewe ,kumbukumbu yangu
Familia ya Mbowe yenyewe inaweza kusomesha ukoo wako kaka.
Saidia akina Adamoo inatosha
 
Kuendelea kuwaita makomandoo kana kwamba bado ni wanajeshi ni makosa na upotoshwaji mkubwa. Majina ya kijeshi waliyoyapata yalisimama mara tu utumishi wao jeshini uliposimama. Hao ni raia wa kawaida na tutawachukulia kama raia wengine wanaojifunza self defence kwenye madojo ya mitaani
 
Kuna ile michango ya faini ambazo baadae zilirudishwa. Zile hela zilirudi kwenye chama au watu binafsi maana hazikutolewa maelezo.
 
Vipi Kama mashitaka wanayoshitakiwa nayo ushahidi ukibainisha walikua ni magaidi kweli,tutaendelea kuwachangia?
 
Tayari
 
Taarifa zilizotufikia ni kwamba wadau wanaendelea kumimina hela kwenye akaunti hiyo.

Mungu ibariki Chadema
 
tayari mradi wa kupiga pesa kwa mazuzu ya chadema
 
Taarifa zilizotufikia ni kwamba wadau wanaendelea kumimina hela kwenye akaunti hiyo.

Mungu ibariki Chadema
Tukisema kuwa chadema ni mkono wa Mungu ili kuwanusuru WATANZANIA tunakuwa tunamaanisha ukweewrrriiii.
 
Wajeda nao waamke bwana! Mnatesewaje watu wenu hivyo nyie mko kimya tu?
Una maana gani mkuu. After all hakuna 'Mjeda' hata mmoja hapo. Ukisha kanyaga mkeka, ( Court Marshall) na kuamriwa kufukuzwa wewe kamwe hutakiwi uitwe askari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…