CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Asante kwa taarifa hii mkuu.
 
Yaani Chadema ya Mwamba kila kitu kwao ni fursa ya kupiga mahela. Haya kusanyeni hizo fedha Mwamba anazihitaji haraka
 
Naomba M-PESA account ya mke wa mmoja ya walioshtakiwa, nichangie. Tuma kwenye inbox yangu.
 
Una maana gani mkuu. After all hakuna 'Mjeda' hata mmoja hapo. Ukisha kanyaga mkeka, ( Court Marshall) na kuamriwa kufukuzwa wewe kamwe hutakiwi uitwe askari.
Hiyo ni kwenye vitabu au maandishi lkn moyoni watu wana upendo na wafanyakazi wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…