CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Natamani ningepewa kila upande wa familia mtoto mmoja na hata mbowe mwenyewe Kama anamtoto anayesoma mdogo nipewe ,kumbukumbu yangu
Wapi kwenye vituo vya yatima.
 
Tukisema kuwa chadema ni mkono wa Mungu ili kuwanusuru WATANZANIA tunakuwa tunamaanisha ukweewrrriiii.
Good move. I hope this will provide a substancial relief to those families if funds raised are purely going to be used accordingly.
 
Ubarikiwe Sana Mkuu.Wewe haupo mbali na Ufalme wa Mungu.
 
Kwani wenyewe mpaka sasa wana Shilingi ngapi Mifukoni mwao au katika Akaunti zao?
 
Ujumbe mzuri sana kwa hao mafisadi
Ni kweli Mkuu.CCM wanatumia njia zisizo halali kupata pesa, Matharani kupora Wananchi Mali zao,Kuiba kwa njia ya kodi,Kijimilikisha rasilimali za nchi kwa mabavu mfano majengo,viwanja,shule na taasis zingine wanadai kuwa ni zao wakati sio kweli.CCM ni Wabaya zaidi shetani.
 
Hilo ndiyo tatizo linalo tufanya kupambana ili tupate katiba mpya ambayo itaondoa mapungufu kwenye katiba tuliyo nayo sasa hivi.
 
Hilo ndiyo tatizo linalo tufanya kupambana ili tupate katiba mpya ambayo itaondoa mapungufu kwenye katiba tuliyo nayo sasa hivi.
Hakika ni muhimu sana.Mataga wanajua kuwa Katiba mpya itawavua nguo ndio maana tunapodai kuhusu Katiba mpya wanatubambikizia kesi za Ugaidi.
 
Hakika ni muhimu sana.Mataga wanajua kuwa Katiba mpya itawavua nguo ndio maana tunapodai kuhusu Katiba mpya wanatubambikizia kesi za Ugaidi.
Swadakta wanalijua hilo kuwa ndiyo utakuwa mwisho wao kuendelea kuwagandamiza watanzania
 
Good move. I hope this will provide a substancial relief to those families if funds raised are purely going to be used accordingly.
Hakuna senti itakayotumika kinyume na kusudio
 
Lkn tuombe MUNGU, juhudi hizi za makamanda zizae matunda.
Mkuu duniani kote hakuna siku madai ya haki kutoka kwa watawala yaliwahi kuenda kwa wepesi.

Watu wengi wanafungwa na wengine wanapoteza maisha.

Inshahlla tutafanikiwa ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…