Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Tulia kidogo!Unataka kusema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kidogo!Unataka kusema?
Amezipiga kama anavyokupiga wewe huko back!Wakachukue ruzuku zipo kwenye account au mbowe amezipiga tena?
USSR
Wapi kwenye vituo vya yatima.Natamani ningepewa kila upande wa familia mtoto mmoja na hata mbowe mwenyewe Kama anamtoto anayesoma mdogo nipewe ,kumbukumbu yangu
Good move. I hope this will provide a substancial relief to those families if funds raised are purely going to be used accordingly.Tukisema kuwa chadema ni mkono wa Mungu ili kuwanusuru WATANZANIA tunakuwa tunamaanisha ukweewrrriiii.
Sahihi mkubwaGood move. I hope this will provide a substancial relief to those families if funds raised are purely going to be used accordingly.
Mungu akubariki kwa moyo wa UkarimuNatamani ningepewa kila upande wa familia mtoto mmoja na hata mbowe mwenyewe Kama anamtoto anayesoma mdogo nipewe ,kumbukumbu yangu
Naona nyege zimekupanda,tukutafutie dume??.Wakachukue ruzuku zipo kwenye account au mbowe amezipiga tena?
USSR
Barikiwa Sana MkuuMungu ibariki CHADEMA.. Nitatoa
Ubarikiwe Sana Mkuu.Wewe haupo mbali na Ufalme wa Mungu.Nami nitachangia. Wanayopitia ni udhalimu wa hali ya juu. Kumsaidia yeye aliyepo matesoni, ni ibada iliyo njema mbele za Mungu. Tujiweke karibu na kumkaribia Mungu wetu kwa kushikamana na wenye kudhulumiwa.
Nitachangia kila mwezi mpaka watakapokuwa huru. Shetani hajawahi kumshinda Mungu. Mungu atawashindia dhidi ya mabaradhuli wenye kufurahia mateso ya wanadamu wenzao.
Tunaweza kupata taarifa kwa uhakika hatima ya Lijenje?
Ujumbe mzuri sana kwa hao mafisadiNinyi si mnatuibia Watanzania?!!,CDM hawawezi kuiba km Ninyi,heri anayeomba kuliko anayeiba.
Kwani wenyewe mpaka sasa wana Shilingi ngapi Mifukoni mwao au katika Akaunti zao?Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake , walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi , ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.
Tayari mchakato wa kampeni hiyo umekamilika kwa kufungua akaunti Maalum katika benki ya NMB , yenye namba 22601605514 kwa jina la BAWACHA TAIFA , ambapo yeyote atakayeguswa anaruhusiwa kuweka pesa ili ziweze kusaidia familia za wahanga .
KUTOA NI MOYO
Ni kweli Mkuu.CCM wanatumia njia zisizo halali kupata pesa, Matharani kupora Wananchi Mali zao,Kuiba kwa njia ya kodi,Kijimilikisha rasilimali za nchi kwa mabavu mfano majengo,viwanja,shule na taasis zingine wanadai kuwa ni zao wakati sio kweli.CCM ni Wabaya zaidi shetani.Ujumbe mzuri sana kwa hao mafisadi
Hilo ndiyo tatizo linalo tufanya kupambana ili tupate katiba mpya ambayo itaondoa mapungufu kwenye katiba tuliyo nayo sasa hivi.Ni kweli Mkuu.CCM wanatumia njia zisizo halali kupata pesa, Matharani kupora Wananchi Mali zao,Kuiba kwa njia ya kodi,Kijimilikisha rasilimali za nchi kwa mabavu mfano majengo,viwanja,shule na taasis zingine wanadai kuwa ni zao wakati sio kweli.CCM ni Wabaya zaidi shetani.
Hakika ni muhimu sana.Mataga wanajua kuwa Katiba mpya itawavua nguo ndio maana tunapodai kuhusu Katiba mpya wanatubambikizia kesi za Ugaidi.Hilo ndiyo tatizo linalo tufanya kupambana ili tupate katiba mpya ambayo itaondoa mapungufu kwenye katiba tuliyo nayo sasa hivi.
Swadakta wanalijua hilo kuwa ndiyo utakuwa mwisho wao kuendelea kuwagandamiza watanzaniaHakika ni muhimu sana.Mataga wanajua kuwa Katiba mpya itawavua nguo ndio maana tunapodai kuhusu Katiba mpya wanatubambikizia kesi za Ugaidi.
Lkn tuombe MUNGU, juhudi hizi za makamanda zizae matunda.Swadakta wanalijua hilo kuwa ndiyo utakuwa mwisho wao kuendelea kuwagandamiza watanzania
Hakuna senti itakayotumika kinyume na kusudioGood move. I hope this will provide a substancial relief to those families if funds raised are purely going to be used accordingly.
Mkuu duniani kote hakuna siku madai ya haki kutoka kwa watawala yaliwahi kuenda kwa wepesi.Lkn tuombe MUNGU, juhudi hizi za makamanda zizae matunda.
Lumumba wengi wao mawazo yao ni ya kukwapua rasilimali za watu.Hakuna senti itakayotumika kinyume na kusudio