Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Umetisha sana kamandaVipi imekuuma sana? Meza boga mazee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha sana kamandaVipi imekuuma sana? Meza boga mazee...
Lumumba yana roho mbaya utadhani vigagulaAcha wajinga tuendelee kuchangia .Wewe mwerevu endelea kuchangia 7000/- hapo Lumumba
Kachangie arobaini ya Hamza gaidiNitachangia milioni 10
Afadhali maandazi sema kashata tuWakati kula yako yenyewe yamashaka. Mpaka ulipwe buku 7 ushindie maji ya kandoro na maandazi ya bakhresa.
Ukimwi nao ni magonjwa mtambuka?Huo ni msemo wa wahenga tu. Usianze kujishtukia sasa.
Jiwe alikuwa analazimisha tuYaani Chadema ya Mwamba kila kitu kwao ni fursa ya kupiga mahela. Haya kusanyeni hizo fedha Mwamba anazihitaji haraka
We bwabwa vpUko kwenye siku zako za hatari dada au?
Kama wewe ulivyomisi muhogoMwenyekiti wa chadema cartel itakuwa kaimiss Sana hiiView attachment 1966837
Anapatikana pale lumumbaWe bwabwa vp
Wewe Rudi Mombasa huku hakukufaiMi natamani k na 0 yako njoo PM tunyajenge mama mdogo [emoji23][emoji1787]
Omeongea jambo la kibinadamu sana nimejifunza kitu.Nitachangia Kaka yangu Ni mwanajeshi labda ipo siku pia watamfanyia hivi na yeye atasaidiwa na wengine.
Mtei kamaliza kisusio huko lazima wachange tenaChama cha bakuli Kwani zile million 300 na ushee zishaliwa
Bila shaka mchakato huu hautoitupa familia ya huyu jamaa piaNa huyu msimsahau
View attachment 1966833
Hujafa hujaumbika.Chama la ombaomba
achana na huyo mamluki tushamdhibiti , atakupotezea muda tuWewe Rudi Mombasa huku hakukufai
Shauri yako.Ukimwi nao ni magonjwa mtambuka?
Kwahiyo na shauri yako ni magonjwa mtambuka?Shauri yako.
Lile basi la zawadi limeanza kupata kutu huko bandarini.Kwahiyo na shauri yako ni magonjwa mtambuka?