CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa.

Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge hilo, vya kuwabeba wabunge wale 19 wasio na chama chochote cha siasa, kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza ni Ukaidi na Kiburi chake mwenyewe ili kukidhi matakwa yake, na ni UVUNJIFU WA MAKUSUDI WA KATIBA YA NCHI, kama alivyozoea kuivunja mara zote.

Bali jambo kubwa linalopaswa kufahamika na Tulia Ackson na wapambe wake ni hili, KILA UBAYA UTALIPWA.

Pia soma - Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

Mkuuu hacheni kupotosha sheria mana mnapotosha jamiii na kujenga chuki....Akina halima hawajashindwa kesi Bali mapingamizi yao waliomba mahakamani dhidi ya Chama chao yamekataliwa kwa sababu yana mapungufu katika uwasilishaji,so wanachotakiwa kukufanya ni kuyalekebisha na kurudi mahakamani mana mirango bado IPO wazi!!
 
Bi kizee tulia yuko anawaandalia rufaa chap kesho utasikia tamko,hawa covid 19 wana baraka zote za muimba taarab wa kazimkazi
Screenshot_20220623-183733_Twitter.jpeg
 
Mkuuu hacheni kupotosha sheria mana mnapotosha jamiii na kujenga chuki....Akina halima hawajashindwa kesi Bali mapingamizi yao waliomba mahakamani dhidi ya Chama chao yamekataliwa kwa sababu yana mapungufu katika uwasilishaji,so wanachotakiwa kukufanya ni kuyalekebisha na kurudi mahakamani mana mirango bado IPO wazi!!
Hiyo umetunga wewe au ndivyo alivyosema Jaji ?
 
Back
Top Bottom