nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Kwani Bob Makani ye yuko wapi?Ajiulize jiwe yuko wapi leo hii,na Ndungai naye yuko wapi. Wacha ashupaze shingo lakini ajue mwisho wa ubaya ni aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Bob Makani ye yuko wapi?Ajiulize jiwe yuko wapi leo hii,na Ndungai naye yuko wapi. Wacha ashupaze shingo lakini ajue mwisho wa ubaya ni aibu
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa.
Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge hilo, vya kuwabeba wabunge wale 19 wasio na chama chochote cha siasa, kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza ni Ukaidi na Kiburi chake mwenyewe ili kukidhi matakwa yake, na ni UVUNJIFU WA MAKUSUDI WA KATIBA YA NCHI, kama alivyozoea kuivunja mara zote.
Bali jambo kubwa linalopaswa kufahamika na Tulia Ackson na wapambe wake ni hili, KILA UBAYA UTALIPWA.
Pia soma - Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali
Bi kizee tulia yuko anawaandalia rufaa chap kesho utasikia tamko,hawa covid 19 wana baraka zote za muimba taarab wa kazimkaziNaibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa.
Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge hilo, vya kuwabeba wabunge wale 19 wasio na chama chochote cha siasa, kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza ni Ukaidi na Kiburi chake mwenyewe ili kukidhi matakwa yake, na ni UVUNJIFU WA MAKUSUDI WA KATIBA YA NCHI, kama alivyozoea kuivunja mara zote.
Bali jambo kubwa linalopaswa kufahamika na Tulia Ackson na wapambe wake ni hili, KILA UBAYA UTALIPWA.
Pia soma - Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali
Anapewa na bibi wa kazimkazi na system yakeHebu tujaribu kuuliza, huyu Tulia Ackson, hivi hiki kiburi chote anachokionyesha, ni nani hasa anayempa jeuri hiyo?
Hiyo umetunga wewe au ndivyo alivyosema Jaji ?Mkuuu hacheni kupotosha sheria mana mnapotosha jamiii na kujenga chuki....Akina halima hawajashindwa kesi Bali mapingamizi yao waliomba mahakamani dhidi ya Chama chao yamekataliwa kwa sababu yana mapungufu katika uwasilishaji,so wanachotakiwa kukufanya ni kuyalekebisha na kurudi mahakamani mana mirango bado IPO wazi!!