Dk. Tulia sio kiburi bali ni mtaalamu mbobezi wa sheria. Anajua taratibu zote za kufuata. Hawezi kuelekezwa na Salum Mwalimu.
..sikiliza alichokisema hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk. Tulia sio kiburi bali ni mtaalamu mbobezi wa sheria. Anajua taratibu zote za kufuata. Hawezi kuelekezwa na Salum Mwalimu.
mbona mambo yako wazi hata akichukua nakala hawezi fanya chochote apo speaker analaumiwa bure tu yeye hawezi chukua hatua yoyote bila chombo kinachohusika( tume ya uchaguzi) kumwandikia barua nafasi zipo waziSpeaker anachukua hatua baada ya kupokea nakala ya court ruling na kuisoma. Hachukui hatua on the basis of what a party to the dispute is saying “the court said”!
hausiki na chochote kiongozi lawama za bure tu yeye ni mtu wa kusubiri kuambiwa na tume ya uchaguzi kwamba nafasi zipo waziHebu tujaribu kuuliza, huyu Tulia Ackson, hivi hiki kiburi chote anachokionyesha, ni nani hasa anayempa jeuri hiyo?
hausiki na chochote kiongozi lawama za bure tu yeye ni mtu wa kusubiri kuambiwa na tume ya uchaguzi kwamba nafasi zipo wazi
..Spika alikuwa anawakilishwa/anatetewa na mawakili wa ofisi ya AG.
..Na AG anahudhuria vikao vya bunge kutokana na nafasi yake.
..Pia hapa chini kuna maelezo ya Spika Tulia akizungumzia suala la JUDICIAL NOTICE linavyohusiana na shauri la kina Mdee.
mbona mambo yako wazi hata akichukua nakala hawezi fanya chochote apo speaker analaumiwa bure tu yeye hawezi chukua hatua yoyote bila chombo kinachohusika( tume ya uchaguzi) kumwandikia barua nafasi zipo wazi
Judicial notice inakupa tu reason ya kufuatilia kilichojiri. Ukweli ambao haubadiliki ni kwamba mahakama ndiyo inayotoa nakala ya ruling. Unfortunately, mahakama zetu hazina utamaduni wa kuchapa na kutoa nakala za rulings promptly. Nadhani ndiyo maana mpaka kufikia sasa bado hakuna nakala ya hiyo ruling inayozunguka kwenye social media platforms!
Aiseeeee !!!..Na kwamba Spika alikuwa anatetewa / anawakilishwa na mawakili toka Ofisi ya AG pia haina uzito?
..mimi nilidhani mahakama ikiamua hukumu inatekelezwa bila kuchelewa.
..Ni sawa na mtu ahukumiwe kifungo halafu adai hatakiwi kwenda magereza mpaka apewe nakala ya hukumu.
..sikilizeni maelezo ya Spika.
sasa kigugumizi chake leo kimetoka wapi ?Kwa maelezo yake Spika mwenyewe aliyoyatoa hapo, maana yake hao wabunge wameshapoteza nafasi zao za ubunge, kutokana na uamuzi huo wa Mahakama.
Ukimsikiliza kwa makini, ameelezea kuwa Mahakama ikishatoa tu uamuzi wake, haijalishi Mahakama hiyo imeleta taarifa hiyo kwa Spika, Mbunge huyo muhusika atakuwa amepoteza "automatically" ubunge wake
Lakini kesi si inaweza kurekebishwa ikaendelea[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hio itakua phase nyingineLakini kesi si inaweza kurekebishwa ikaendelea😄😄😄😄
Huyu spika huku kanisa kwetu anajitia muumini kumbe hovyoo, yaani ukimwona kanisani, kipumbavu kabisa hiki kicheusi mangalaNaibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa.
Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge hilo, vya kuwabeba wabunge wale 19 wasio na chama chochote cha siasa, kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza ni Ukaidi na Kiburi chake mwenyewe ili kukidhi matakwa yake, na ni UVUNJIFU WA MAKUSUDI WA KATIBA YA NCHI, kama alivyozoea kuivunja mara zote.
Bali jambo kubwa linalopaswa kufahamika na Tulia Ackson na wapambe wake ni hili, KILA UBAYA UTALIPWA.
Pia soma - Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali
CCM hawaumizani kwenye maslahiSina tatizo na maamuzi yoyote atakayotoa Spika juu ya uamuzi huu wa Mahakama. Mimi na Watanzania kwa ujumla tunahaka kujua, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipata wapi haya Majina hata kuyapeleka Bungeni? Na kwa kuwa wao ndio chanzo cha mkanganyiko huu wanatakiwa wawajibishwe ikiwezekana kwa maamuzi haya ya mahakama, ivunjwe. Hatuwezi kukubali tabia hii ya kuzalisha migogoro ya kimihimili yaani Serikali, Bunge na Mahakama na wazalishaji (Tume inayoongozwa na Jaji) wakiwa kimya. Hii ni Kashfa na Aibu kwa watendaji wote wa Tume.
Mbona ipo tayari ina kurasa 33.Judicial notice inakupa tu reason ya kufuatilia kilichojiri. Ukweli ambao haubadiliki ni kwamba mahakama ndiyo inayotoa nakala ya ruling. Unfortunately, mahakama zetu hazina utamaduni wa kuchapa na kutoa nakala za rulings promptly. Nadhani ndiyo maana mpaka kufikia sasa bado hakuna nakala ya hiyo ruling inayozunguka kwenye social media platforms!