Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati.
Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa Kamati Kuu kufanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Uenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Mtunza Hazina wa Kanda.