Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Yaani hili li chama bana,wegombea uwenyekiti kanda ya kaskazini wote ni ndugu zake Mbowe na kanda ya kati wamepenyeza ndugu yake Mzee Mbowe mmoja,muwe mnaona hata aibu basi .Nchi hii ni yetu wote jamani.Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati.
Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa Kamati Kuu kufanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Uenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Mtunza Hazina wa Kanda.
View attachment 3177312View attachment 3177313View attachment 3177314View attachment 3177315
Yaani hili li chama bana,wegombe uwenyekiti kanda ya kaskazini wote ni ndugu zake Mbowe na kanda ya kati wameoenyeza ndugu yake Mzee Mbowe mmoja,muwe mnaona hata aibu basi .Nchi hii ni yetu wote jamani.
Kwa hiyo nia ya hii saccos viongozi wote watoke kaskazini siyo?hujui Tanzania ni zaidi ya kaskazini?Kagombee wewe uache ujinga. Kwani ndugu zake hawana haki? Mijitu kama wewe inatakiwa ikaishi Rwanda na Burundi huko.
Hakuna chama kinaweza mpokea mwehu kama Lema hapo cdm anaishai shauri ya uchwa wake kwa ndugu yake Mzee MboweLema kabwaga manyanga tayari kujiunga Chama kipya
Wewe ni mpuuzi tu, nimekwambia nenda kagombee acha ujinga.Kwa hiyo nia ya hii saccos viongozi wote watoke kaskazini siyo?hujui Tanzania ni zaidi ya kaskazini?
Ccm mapumbavu ndio maana mnapelekwa kizmkazi Kwa upumbavu uliowajaa kichwani.Yaani hili li chama bana,wegombea uwenyekiti kanda ya kaskazini wote ni ndugu zake Mbowe na kanda ya kati wamepenyeza ndugu yake Mzee Mbowe mmoja,muwe mnaona hata aibu basi .Nchi hii ni yetu wote jamani.
Kwa hio wachaga kina molel huko ccm ni wapumbavu l, ccm ni mazwazwa ndio maana tumaini lenu ni polis tu na bila hao hata kitongoji kimoja hampati.Kanda ya kati mgombea jina la kichaga, ama kweli hiki ni chama Cha wenyewe
Mnao uhakika kuwa kanda ya kasakazini ni ndugu yake Mzee Mbowe atakuwa Mwenyekiti,hapo kanda ya kati mmelazimisha kumweka nae ndugu yake Mzee Mbowe ,Tanzania ni zaidi ya kaskazini Mangi .Nyumbu wakubwa nyieWewe ni mpuuzi tu, nimekwambia nenda kagombee acha ujinga.
Hiyu Minja anaegombea kanda ya kati ni Mnyaturu ehe?hawana hata aibu basi lohWe fala hujui point yangu, Kanda ya kati kwa wagogo, wanyaturu na wanyiramba ila mchaga ni mgombea kwenye uchaguzi wa chama Cha wachaga halafu unalinganisha huo usenge wenu na ccm
Yaani hata aibu hawana aisee,kwani si wangemwambie afiche tu ubini wakeπββοΈπββοΈπββοΈKanda ya kati mgombea jina la kichaga, ama kweli hiki ni chama Cha wenyewe
kwani uchaguzi huu si unahusu kanda ya kaskazini kwa hiyo iwapo kama watachaguliwa watu wa huko ni kawaida maana hata kanda ya kusini au kanda nyingine waliochaguliwa ni watu toka kanda husikaKwa hiyo nia ya hii saccos viongozi wote watoke kaskazini siyo?hujui Tanzania ni zaidi ya kaskazini?
Kanda ya kaskazini mwenyekiti angefaa Amani Golugwa na hapo kanda ya kati wangempandisha Aisha Madogga. Anyway naona Team Lissu (David Djumbe) vs Team Mbowe (Devotha Minja) hii itatoa picha muelekeo wa Uchaguzi kama atashinda Devotha basi itakua indicator kuwa Mbowe anabeba tena uenyekitiKamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati.
Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa Kamati Kuu kufanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Uenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Mtunza Hazina wa Kanda.
View attachment 3177312View attachment 3177313View attachment 3177314View attachment 3177315
Hebu kwanza mkuu 'Makupa'. Naelewa unacho llamikia, lakini kwani kufikia kwenye ngazi hii pamekuwepo na mchujo wa hao wagombea, au ni hiari ya mtu kujitokeza mbele kugombea?Kwa hiyo nia ya hii saccos viongozi wote watoke kaskazini siyo?hujui Tanzania ni zaidi ya kaskazini?