CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

kwani uchaguzi huu si unahusu kanda ya kaskazini kwa hiyo iwapo kama watachaguliwa watu wa huko ni kawaida maana hata kanda ya kusini au kanda nyingine waliochaguliwa ni watu toka kanda husika
Kule kanda ya kati kuna mtu anaitwa Minja nae anagombea uwenyekiti
 
Mko vizuri hadi Minja amekuwa Mnyaturu
 
Natamani kujibu lakini naona wakati fulani kujibizana na watu wanaotoa propaganda za kijinga ni kujishusha.

Samaki ukimkuta majini sio ajabu ila ukimkuta nchi kavu anaogolea kwenye vumbi ndio la kushangaa.

Hivi wachaga wanaishi Kanda gani?
Kaskazini Nkuu
 
Golugwa sio Mangi ujue
 
Mungu baba Ibariki CHADEMA❤❤❤
 
kwani uchaguzi huu si unahusu kanda ya kaskazini kwa hiyo iwapo kama watachaguliwa watu wa huko ni kawaida maana hata kanda ya kusini au kanda nyingine waliochaguliwa ni watu toka kanda husika
Minja aneogombea kanda ya kati ni Mnyaturu ehe?
 
Mko vizuri hadi Minja amekuwa Mnyaturu
'Makupa', kwa kawaida huwa sina upumbavu wa kitoto. Nilicho jaribu kueleza kiko wazi. Ni wajibu wako kuelewa.
Sasa unapo niijia kwa njia hiyo unayo taka kunihusisha nayo, hapo itanilazimu nikukabiri kwa njia hiyo hiyo unayo taka wewe.
 
Kanda ya kati mgombea jina la kichaga, ama kweli hiki ni chama Cha wenyewe

..Devotha Minja emezaliwa na kukulia Morogoro.

..Hana tofauti na Mh.Abubakar Asenga Mbunge wa Ccm Kilombero.

..hana tofauti na Patrick Ole Sosopi ambaye amezaliwa na kukulia Iringa.

..kuna Watanzania wengi ambao wamezaliwa na kukulia maeneo tofauti na asili ya wazazi wao.
 
Lema kaamua kukaa pembeni, safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…