Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Chama cha siasa kinachovuma nchini Tanzania kwa sasa ni Chadema chama cha wananchi wazalendo.Chadema wana wakati mgumu sana. Wanaandamwa nchi nzima na vyombo vya dola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha siasa kinachovuma nchini Tanzania kwa sasa ni Chadema chama cha wananchi wazalendo.Chadema wana wakati mgumu sana. Wanaandamwa nchi nzima na vyombo vya dola
Matokea ya hiki kifo cha chadema ni kwa sababu ya kisalitiwa kwa Dr Slaa.Kama Kaunga mkono juhudi Slaa watu hatuyumbi, ndio itakuwa Mnyika? Kizazi cha kuisujudia ccm kiliisha na Nyerere, hiki sio kizazi cha ccm.
Matokea ya hiki kifo cha chadema ni kwa sababu ya kisalitiwa kwa Dr Slaa.
Mazishi ya chadema October 2020.Cdm ni taasisi, na Slaa alikuwa kiongozi tu. Kama mlitegemea mtachezea chaguzi za nchi hii kwa kuihujumu cdm, kisha mpitishe propaganda mfu eti Cdm imekufa kisa Dr. Slaa kaondoka, basi mmechemsha. Wajinga wa hivyo hawapo tena kizazi hiki.
Mtawaongoza wananchi gani?"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mhe @jjmnyika.
kuna kitu hukijuiPamoja na hilo Chadema inakaribisha mazungumzo na majadiliano kutoka vyama vingine hali ni mbaya.
Atimae chadema imeomba (poo)msaada kwa vyama vingine
hili andishi umechangia uzi huu huu au ulilenga uzi mwingine ?Wameishiwa hawana hoja
Nakijua.ni kwamba mnajaribu kuomba ventlator kwa majirani mjaribu pengine marehemu anaweza kufufuka.kuna kitu hukijui
Chadema siyo CCM ya Polepole inayowatisha wanachama wake.Hivi kuna mtu atathubutu kuchukua form kweli!!