CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Kama tunavyo jua MBOWE hua anasubir CCM imfukuze mtu ili wamchukue aende kuongeza Kura

So napenda kuishaur CCM imfukuze hata January makamba ili ndugu zetu chadema wamtangaze mgombea wao wa Urais kwa ticket ya chadema

Pia nahis mh Alie timuliwa CCM hajaweza kufika Bei ya kumlipa mh mwenyekit

Au chadema twende na halima mdee namkubal Sana Yule Dada

Au esta bulaya
 
hauna kazi ya kufanya, Tanzania haiwezi ongozwa na chadema...watu wasiojitambua wataongozaje nchi?
 
Kama tunavyo jua MBOWE hua anasubir CCM imfukuze mtu ili wamchukue aende kuongeza Kura

So napenda kuishaur CCM imfukuze hata January makamba ili ndugu zetu chadema wamtangaze mgombea wao wa Urais kwa ticket ya chadema

Pia nahis mh Alie timuliwa CCM hajaweza kufika Bei ya kumlipa mh mwenyekit

Au chadema twende na halima mdee namkubal Sana Yule Dada

Au esta bulaya
CHADEMA hawashiriki uchaguzi 2020 kuogopa aibu ya kushindwa vibaya
 
Chadema tunawaangalia tu,sasa na hapa 2020 fateni upepo wa kisiasa muone mtakavyoumia tena.
 
Nawa achia wana CDM wapendekeze na kuchagua. La msingi nawashauri la 2015 wasilirudie, ingawa wengi huko CDM wana amini kuwa EL aliwaletea kura mimi binafsi naamini ali ivuruga CDM haswa baada ya kushindwa na kurudi huko alikokuita nyumbani. Chama imara huamka na kusimama baada ya mitafaruko. Go CDM go mnategemewa na wengi.
 
Back
Top Bottom