CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Hawa jamaa kwa comedy wapo vizuri
ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .

[emoji115][emoji115][emoji115]

Unajuwa kucheza na akili za misukule yenzako [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Baada ya Tangazo la Katibu Mkuu John Mnyika , hii maana yake ni kwamba kipyenga sasa kimepulizwa , labda kwa taarifa tu na hasa kwa wenye ubongo usioelewa haraka kutokana na matatizo ya kuzaliwa ( low score ) , ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .

Kwahiyo basi unapoweka jina la Mgombea wako unayependekeza ufahamu kwamba unayempendekeza huenda akawa Rais wa Tanzania iwapo chama kitampitisha , hivyo zingatia sana weledi , uungwana , afya ya akili pamoja na Uhusiano mzuri wa kimataifa ( hapa pamejaa mambo yote ikiwemo haki za kikatiba na haki za binadamu )

Karibuni kwa mchakato .
LISSU
 
Nenda kachukue fomu pale, yule waliemtegemea kaona maji marefu kupambana na daktari katafuta sababu nyingi ili aendele kubaki huko huko.
Chadema huwa hawana mambo mengi sana hasa kama utaweza kuongea vizuri na Mbowe au fanya mawasiliano kwanza na Lowassa kujua kiasi gani kinahitajika kupeperusha bendera.
Huu ndio wakati wa kazi na bata sio kila siku kumtuma mtoto mdogo Zitto kukuongelea. Njoo upambane kianaume uone maana ya mtu kuitwa chuma Magufuli.
MEMBE ATAGOMBEA NDANI YA CCM NA ATAPITA
 
Mimi mmh natangaza kugombea uraisi kupitia cdm naombeni kura zenu.
Mimi ninasubiri tume huru ya uchaguzi, kufutwa kwa kifungu cha kutopewa nakala ya matokeo ya kura kwa wawakilishi wa vyama vya siasa ikiwa mojawapo ya maadili ya uchaguzi, na ikiwezekana ipatikane katiba mpya; ndipo nitachukua form ya kugombea urais kupitia chama chochote kile ikiwemo Ccm! Chadema na Act-wazalendo hoyeeeee!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Huu Uzi nimeuchukua Kama kumbu kumbu takukumbusha mwakan pia ningeomba na wewe uchukue hii comment yangu ya kua chadema mnaenda kupoteza kambi kuu bungeni na mbowe anaenda kupoteza ubunge na msigwa
Takukumbusha utakapo amka naona sasaiv unaota [emoji1787]
Baada ya Tangazo la Katibu Mkuu John Mnyika , hii maana yake ni kwamba kipyenga sasa kimepulizwa , labda kwa taarifa tu na hasa kwa wenye ubongo usioelewa haraka kutokana na matatizo ya kuzaliwa ( low score ) , ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .

Kwahiyo basi unapoweka jina la Mgombea wako unayependekeza ufahamu kwamba unayempendekeza huenda akawa Rais wa Tanzania iwapo chama kitampitisha , hivyo zingatia sana weledi , uungwana , afya ya akili pamoja na Uhusiano mzuri wa kimataifa ( hapa pamejaa mambo yote ikiwemo haki za kikatiba na haki za binadamu )

Karibuni kwa mchakato .
Screenshot_20200603-152341.jpeg
 
Hata uchaguzi uliopita kulikuwa na huo umoja.
Ndo huo umoja uliwapa kura nyingi na wabunge wengi chadema,kwa kupata kura za CUF,NCCR,NLD na kura za wanachama wa CCM waliokua na mahaba na Edlow.

Kwa sasa never.hakuna tena mbeleko.
 
Back
Top Bottom