CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Chadema ndiyo Chama Tawala kuanzia October 2020 mwaka huu lazima nzi wa kijani wakae..
Kweli kabisa mnachukua nchi mwaka huu na kwa Sasa rais Magufuli anawajengea bonge la ikulu chamwino keshamwekea rais Mbowe wanyama, ndege tausi nk. Hongrezi chadema kwa kushinda urais 2020-2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakirudia huu mchezo,sina jinsi nitaamua kujikusanya kusanya tu niunge mkono juhudi maana sasa itakua ni kama kutengeneza ngoma kwa kutumia ngozi ya kuku.
 
Hahaha labda watu wasifike Bei mwenyekit lazima apige mkimuuliza na mlivyo wajinga Ana jubu simple tu ,"tumemchukua ili tuongeze Kura [emoji1787]
Wakirudia huu mchezo,sina jinsi nitaamua kujikusanya kusanya tu niunge mkono juhudi maana sasa itakua ni kama kutengeneza ngoma kwa kutumia ngozi ya kuku.
 
Niko tayari kumsindikiza Mbowe kwenda kuchukua form pale makao makuu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Unakwenda kujaza fomu ya Uraisi ukiwa unaamini kabisa lazima ugalagazwe!! Hiyo kazi inawahitaji wavuta bangi ambapo akivuta bangi inamfanya ajione Yuko juuu na tayari Yuko ikuru

Wenye akiri zao hawawezi Kufanya kazi ya kijinga au la, lazima kuwepo makubaliano maalumu ili kuwapata wenye akiri zao, kwamba kabla na baada ya kugalagazwa alipwe Kwa miaka yote hiyo mitano

La sivyo, hiyo kazi ni ya mtu aliyekosa mwelekeo
 
Tatizo hata yeye mnyika kwenye jimbo lake anang'oka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…