Chadema yaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu AFCON 2019

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1553456763104.jpg

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) katika taarifa yake iliyosainiwa na Mkuu wa kitengo chake cha habari , Tumaini Makene , imeipongeza Timu ya Taifa kwa Ushindi mnono dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu kwa Michuano hiyo ambayo mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 1980

Pongezi za Chadema zimeelekezwa kwa wachezaji , benchi la ufundi na washangiliaji waliojituma bila kuchoka ili kuipa hamasa timu yao .
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jikite kwenye mada badala ya porojo za kichovu zisizo na tija
 
Sijaona mahali chadema wameombea tanzania ifungwe. Mbowe alikuwepo uwanjani.. james mbatia alikuwepo uwanjani.. na viongoz wengine wote walikuwa waki support stars maana walikuja wamevaa jezi.
CHADEMA acheni unafiki, nyie si ndio mliokuwa mnaiombea Taifa Stars ifungwe na kumbeza Makonda Kuhamasisha Watu Waende Uwanjan? Mashetani Wakubwa Nyie

Wewe ndo shetani mkubwa tena mwenye mapembe!
Pongezi za CHADEMA zinaonesha UZALENDO wa kweli! Siyo mijitu ya CCM inakuja kumsifia RC Makonda utafikiri yeye ndo kafunga magoli yote.....huo ni UNAFIKI uliopitiliza.....!!!
 
Ukiangalia nyuzi za kabla ya mechi utaona wazee wa kuitakia nchi mabaya walitaka tufungwe. Na wengine wakaahidi na mafi lakini cha kushangaza kwa unafiki saa hizi wanajikomba komba eti tuko nao pamoja. Hawa watu ni wanafiki sjapata kuona.
 
jikite kwenye mada badala ya porojo za kichovu zisizo na tija
Wanafiki nyie. Hapo msijikombe, hamuhusiki hata kidogo. Mnahusika mmoja mkoja kama watanzania ila kama chama hamuhusiki hata kidogo tena mnatakiwa mtokomezwe kabisa maana leo mlikaa kitako kusubiri stars ishindwe muanze yale yenu. Mungu kawaumbua. Baada ya Nyerere mwala 1980 wa pili ni Magufuli. Hawa jamaa wanafanana sana.
 
Magufuli anafanana na Nyerere ! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Sijaona mahali chadema wameombea tanzania ifungwe. Mbowe alikuwepo uwanjani.. james mbatia alikuwepo uwanjani.. na viongoz wengine wote walikuwa waki support stars maana walikuja wamevaa jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiri ri CCM sijui rinatupereka wapi..??
TaifaStars ni ya Watz wote si ya Makonda, Magufuli wala Majaliwa. Kutaka kuwananga Viongozi wa vyama vya Siasa kuwa walikuwa wanaomba Stars ifungwe ni unafiki
wa hali ya juu. Hizi ruga za kihunihuni kwa Upinzani kuwa ati
Ukiangalia nyuzi za kabla ya mechi utaona wazee wa kuitakia nchi mabaya walitaka tufungwe. Na wengine wakaahidi na mafi lakini cha kushangaza kwa unafiki saa hizi wanajikomba komba eti tuko nao pamoja. Hawa watu ni wanafiki sjapata kuona.
 
Sijaona mahali chadema wameombea tanzania ifungwe. Mbowe alikuwepo uwanjani.. james mbatia alikuwepo uwanjani.. na viongoz wengine wote walikuwa waki support stars maana walikuja wamevaa jezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiri ri CCM sijui rinatupereka wapi..??
TaifaStars ni ya Watz wote si ya Makonda, Magufuli wala Majaliwa. Kutaka kuwananga Viongozi wa vya vya Siasa kuwa walikuwa wanaomba Stars ifungwe ni unafiki
wa hali ya juu. Hizi ruga za kihunihuni kwa Upinzani kuwa ati
Ukiangalia nyuzi za kabla ya mechi utaona wazee wa kuitakia nchi mabaya walitaka tufungwe. Na wengine wakaahidi na mafi lakini cha kushangaza kwa unafiki saa hizi wanajikomba komba eti tuko nao pamoja. Hawa watu ni wanafiki sjapata kuona.
 
Makamanda wa siasa ndio wanachojua tu. Kutoa taarifa kwa kila tukio. Siasa za matukio
View attachment 1053298

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) katika taarifa yake iliyosainiwa na Mkuu wa kitengo chake cha habari , Tumaini Makene , imeipongeza Timu ya Taifa kwa Ushindi mnono dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu kwa Michuano hiyo ambayo mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 1980

Pongezi za Chadema zimeelekezwa kwa wachezaji , benchi la ufundi na washangiliaji waliojituma bila kuchoka ili kuipa hamasa timu yao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1053298

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) katika taarifa yake iliyosainiwa na Mkuu wa kitengo chake cha habari , Tumaini Makene , imeipongeza Timu ya Taifa kwa Ushindi mnono dhidi ya Uganda na hivyo kufuzu kwa Michuano hiyo ambayo mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 1980

Pongezi za Chadema zimeelekezwa kwa wachezaji , benchi la ufundi na washangiliaji waliojituma bila kuchoka ili kuipa hamasa timu yao .
Nyie jamaa mnakaribia kuokota makopo, mpaka siku ya mechi jumapili mchana kuna nyuzi zilikuwa zinaanzishwa za kuiombea Taifa Stars ifungwe, cha ajabu LIKES za kwenye hizo nyuzi za kuiponda timu kisa mratibu mkuu Makonda ndo hizo hizo LIKES zinaonekana kwenye uzi huu wa kuipongeza timu.Ukiwa mnafiki usiwe msahaulifu. Ndo maana huwa sipepesi macho kuungana na Mzee Mkapa kuwaita WAPUMBAVU. Mtu mnafiki halafu hajijui mara zote ni MPUMBAVU. Ndo maana mlihubiriwa Lowassa FISADI mkashangilia, July 2015 mkaambiwa ni msafi anagombea uraisi kupitia CDM mkashangilia mpaka kudeki barabara, February 2019 amerudi CCM bado mkashangilia. Aliyewaita NYUMBU hakukosea. Kubalini tu REKODI imevunjwa, Taifa Stars ilienda AFCON kipindi cha Nyerere 1980, inaenda tena 2019 kipindi cha MAGUFULI. Sipati picha mgonjwa wenu aliye ughaibuni alivyochukia leo.
 
Kwani hupendi Chadema waipongeze timu ya Taifa lao ?
 
CDM kama chama nafurahi kikipongeza, na mimi nakipongeza kwa uzalendo huo, tatizo lipo kwa nyie wafuasi wa mitandaoni. Zile nyuzi za kuitakia mabaya Taifa Stars mmetoa likes za kutosha na ku comment mabaya na wewe ukiwemo, na huu Uzi wako wa kupongeza umepata LIKES za wafuasi, wengi wao wakiwa walewale mliotoa likes kwenye kuiombea mabaya kisa mratibu mkuu Makonda, huu kama sio UNAFIKI ni Nini??!?..
 
Kwa jinsi nilivyoona uzalendo ulotukuka wa Watanzania pale U/taifa asee nimeamini hawa wapiga mbiu wa Ufipa siyo chochote. Yaani walivyokua wanaanzisha nyuzi za kutaka stars ishindwe na walivyokua wanajipa ma likes ungeweza sema taifa asingefika mtu kwa jinsi walivyokua wanahamasishana dhidi ya stars. Nimeamini ndo maana CCM inawapiga bao sana hawa jamaa, ukiwaona Jf wapo wengiiii kweli lakini kumbe Taifa watu wakaenda wengi zaidi yao. Na kwenye uchaguzi hivyo hivyo kwenye Jf wapo wengiii lakini kura wanapata chache.
 
Back
Top Bottom