We waache washupaze shingo hali ni mbaya sana kwa CCMWenzako wanakuambia hao sio wapiga kura, sasa sijui ni wapiga ramli ?
Kabisa kadri siku zinavyosonga naona popularity ya CDM inakuwa maradufuHawaamini macho yao
Yupo yule mwehu wa sanaa za maagizo anasema chadema wamebaki watu watatu tu sasa sijui hao kwake ni vichuguu, twendeni polepole msumari uwaingie kudadaki;We waache washupaze shingo hali ni mbaya sana kwa CCM
Watu mia nane, chadomo kweli imekufa. Nyomi ya chauma mbogwe ni kubwa kuliko hii. Inasikitisha.Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Cdm inakuja kwa kasi sanaChadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
😂😂 wanaosema cdm inakufa huwa wanatangulia wao na kukiachaWatu mia nane, chadomo kweli imekufa. Nyomi ya chauma mbogwe ni kubwa kuliko hii. Inasikitisha.
Tutakomaa mpaka kieleweke mwaka huuNo
Reform
No
Election
Dodoma ya wagogo imeamka.Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Aione Chura Kiziwi na chawa wake wote!Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Mamake Lucas Mwashambwa wa hiari akiona hivi anatamani kuua tuChadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Hayo majini sisi tunayalawiti hadi yatoke bawasiriMkija mwanakwerekwe tunawatupia majini