PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hahaha😂😂😂
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.✌🏿💪🏿📌🔨
 
CDM ni moto wa gas aisee
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
 
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
octoba tunatiki.jpg
 
Watu hawapati usingizi, ogopa NORNOE,
hadi wakaamua kumuweka inchrge ndani,
Wameshikilia passport zao,
Kifuatacho ni kuzuia mikutano yao but all in all msg imefika na haifutiki kwa sababu imeingia kwenye mioyo ya watu na itaishi milele
Time will tell my college
 
Back
Top Bottom