Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
kumbe chadema ndio watekaji halafu mnasingizia wengine gentleman?Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
