The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
View attachment 3360975
Hawa gawako mtandaoni ndiyo wanaomnyima usingizi Mtoto wa Kizimkazi johnthebaptist