PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo vegetables walikua Moshi Kilimanjaro kinyonge sana siku hizi hata drones hawarushi tena asante wajumbe hakika ile January 21 itaingia kwenye kumbukumbu ya hiki chama hapo TAL mwana wa Tanganyika yupo Ngome ila vijana wanatamdaza draft ile Mbaya Mwamba ameshasahaulika kabisa kumbe inawezekana chama kikaemda bila kuleta u Goat
Masisiemu yanashangaa yanona Stop hayaelewi yaelekee wapi
CDM inaenda kuleta mapinduzi kwenye nchi yetu
 
Watu hawapati usingizi, ogopa NORNOE,
hadi wakaamua kumuweka inchrge ndani,
Wameshikilia passport zao,
Kifuatacho ni kuzuia mikutano yao but all in all msg imefika na haifutiki kwa sababu imeingia kwenye mioyo ya watu na itaishi milele
Time will tell my college
NRNE ni series ndefu sana , hopefully up to 2030
 
Lile wimbi la kuhama chadema huenda lilikuwa fix ya kiimfumo mbona siku hizi kimya?au vyombo vya habari vimepigwa ban
 
october mtafanya nini? achana na hizo twisted illusions, live ur life, hii ni kama soccer league tu
What kind of twisted illusions you are talking about? Hapa tunaongelea reforms for our national prosperity.
 
What kind of twisted illusions you are talking about? Hapa tunaongelea reforms for our national prosperity.
1749278180836.jpeg
rself
 
What kind of twisted illusions you are talking about? Hapa tunaongelea reforms for our national prosperity.
national prosperity ipi??, we shida zako za kiuchumi hazijasababishwa na mfumo, ni majanga yako binafsi tu, jipambanie, usijifanye kulipambania taifa
 
national prosperity ipi??, we shida zako za kiuchumi hazijasababishwa na mfumo, ni majanga yako binafsi tu, jipambanie, usijifanye kulipambania taifa
Katiba na Mifumo bora ya nchi itachangia pakubwa sana our national prosperity driven by a combination of productive human capital, innovation, good governance, and sustainable economic policies.
 
Back
Top Bottom