CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

Mimi ntavaa gwanda zangu nyeusi zile!
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
 
Wewe akili zako ni Kama za mwendazake ,subtype ya SABAYA, matusi kila ya kila aina, alafu wajiona mzima, utakufa KWA msongo wa mawazo kisa Chadema
 
Kamanda utavaa gwanda Jumamosi? Ukivaa jipige selfie halafu uirushe hapa JF.

Sawa kamanda?
Hapana kamanda, tufanye sitavaa, kwa sababu kama nikiweka ushahidi hapa itakuwa ni kujianika na kuyafanya mateso ya Melo kuwa bure!! Ntavaa nyuma ya keabord!
 
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
Hahahaha hahahaha [emoji23][emoji23] jiwe amesha kufa mbona hamuelewi nyie Mataga???

Kunywa sumu ufe na wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Kuvalishana hayo mavitu ni upumbavu mkubwa sana. Nlidhani mngesema ni siku ya watu kujadiliana madhaifu ya katiba ya sasa au kuelimishana mambo mbalimbali.
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Mwaka huu ndugu yangu watakupanda wengi
 
Mwaka huu ndugu yangu watakupanda wengi
Kuwa mwangalifu na matusi , mimi natokea Tandika Mwembeyanga , huku kwetu matusi ni kama salamu tu , nikiamua kufunguka hapa utakimbia , halafu hii jf huwezi kujua nani ni nani kwa kuangalia Avatar tu
 
Ujinga mzigo, tayari ishadhihirika tena kwamba, hapo ufipa ujinga upo kichwani mwa wengi

Mmeagiza ujinga gani??😂
 
Kuwa mwangalifu na matusi , mimi natokea Tandika Mwembeyanga , huku kwetu matusi ni kama salamu tu , nikiamua kufunguka hapa utakimbia , halafu hii jf huwezi kujua nani ni nani kwa kuangalia Avatar tu
Sijawahi kutukana katika maisha yangu. Ila huwa nasema ukweli tu. Tusi si tusi hadi mtusiwa aone ni tusi.
 
Back
Top Bottom