CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

Sijawahi kutukana katika maisha yangu. Ila huwa nasema ukweli tu. Tusi si tusi hadi mtusiwa aone ni tusi.
Kuwa makini sana , nikikudharau utakuwa kama kinyesi hapa jf
 
KWANZA MTUPE MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE CHANGIZO KIPINDI KILE CHA KAMPENI. MSIDHANI TUMESAHAU.
 
A good way of advertisements
 
Maskini dah!

Leo sio zamu yako kulinda kaburi la dhalimu? Naona uko off hivyo una muda wa kuchat hapa jukwaani. Huu
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
Ukitaka kujua huna jipya, huu utoto unacopy na kupaste kila uzi. Subiri nyuzi za watoto wenzako ndio ukaweke huu utoto.
 
Wewe jamaa ni kiboko, yaani nchi nzima kuvaa sare za Chadema?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi Naona ni vizuri, lazima ubaki relevant and fresh kwenye minds za watu, sio kusubiri mpaka uchaguzi ndio muhamasishane. Chadema itafute more ways Kama hii ya ku engage wananchi kama mkakati kuelekea uchaguzi wa 2025.
 
Ujinga mtupu.

Badala ya kuhubiri Tanzania ya viwanda wanahubiri kuvaa sare.!!! Shame
Mwendazake alihubiri Tanzania ya viwanda mpaka ameondoka hatujaviona
Acha tutadai katiba Kwanza na tume huru ya uchaguzi
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…