Nimeshamwambia sana huyo Erythcryote kuna baadhi ya viongozi hawajielewi hasa wa Mkoa na wa jimbo la Kinondoni."KWA KUTUMIA AKILI KUBWA"
Kufanya mambo kwa "mazoea" hakuna nafasi tena.
Naomba unisome hapo juu, na kama hunielewi sema nieleze. CHADEMA ni muhimu wajifanyie 'soul searching', ya haraka.
Bora chauma au Udp au Adc au chama gani?Hiki chama bwana kama kikundi fulani hivi cha wahuni waliojichokea maisha kisha kuungana kurudi kwenye Maisha
Ujumbe wenu wote umefikaNimeshamwambia sana huyo Erythcryote kuna baadhi ya viongozi hawajielewi hasa wa Mkoa na wa jimbo la Kinondoni.
Muhimu sanaUjumbe wenu wote umefika
Mungu keshaibariki kwa kuwapa 0.01% ya ushindi. Shetani hawezi mshinda Mungu.Mungu Ibariki CHADEMA
Kwani hao waislam hawajui kuwa leo ni ijumaa? Au kwao kikao ni bora kuliko swala hadi watimuliwe kikaoñi ili waende kwenye swala?Tuwàachie watumishi waliopo chini yetu katika Taasisi za ummma au binafsi wahudhurie swala ya ijumaa
Cc
Chadema kikao chenu ikifika saa 6 kamili kukighairishe ili wajumbe wa kiislamu wawahi swala, baada ya swala kiendelee
Nivitu walivyo vijua kuwa itakuwa hivyo ila wao waliingia kwenye uchaguzi kwa lengo moja tu kupata Platform yakuzungumza kipindi cha kampeni.. Ila hakuna jipya ambalo walikuwa hawalijui hata uchaguzi ujao watapigwa hivyo hivyo, wao kama wanaweza na wao wawe vibaraka ili wawe wanamegewa baadhi ya viti kama ACT Zanzibar. Ila wakijifanya ngangari uchaguzi ujao hawapati hatsa viti maalumu. Wenzao hawatanii na ukileta fyoko unaokotwa ununioKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe, atakiongoza kikao hicho, na kauli rasmi itatolewa baada ya kikao kumalizika.
Chadema kina wafuasi dunia nzima. Mungu wàbariki wàzungu.Nimeshamwambia sana huyo @Erythrocyte kuna baadhi ya viongozi hawajielewi hasa wa Mkoa na wa jimbo la Kinondoni.