LGE2024 CHADEMA yaitisha Kikao cha dharura cha Kamati Kuu kujadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 CHADEMA yaitisha Kikao cha dharura cha Kamati Kuu kujadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"KWA KUTUMIA AKILI KUBWA"
Kufanya mambo kwa "mazoea" hakuna nafasi tena.
Naomba unisome hapo juu, na kama hunielewi sema nieleze. CHADEMA ni muhimu wajifanyie 'soul searching', ya haraka.
Nimeshamwambia sana huyo Erythcryote kuna baadhi ya viongozi hawajielewi hasa wa Mkoa na wa jimbo la Kinondoni.
 
Tuwàachie watumishi waliopo chini yetu katika Taasisi za ummma au binafsi wahudhurie swala ya ijumaa

Cc
Chadema kikao chenu ikifika saa 6 kamili kukighairishe ili wajumbe wa kiislamu wawahi swala, baada ya swala kiendelee
 
Kwani hao waislam hawajui kuwa leo ni ijumaa? Au kwao kikao ni bora kuliko swala hadi watimuliwe kikaoñi ili waende kwenye swala?
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe, atakiongoza kikao hicho, na kauli rasmi itatolewa baada ya kikao kumalizika.

Nivitu walivyo vijua kuwa itakuwa hivyo ila wao waliingia kwenye uchaguzi kwa lengo moja tu kupata Platform yakuzungumza kipindi cha kampeni.. Ila hakuna jipya ambalo walikuwa hawalijui hata uchaguzi ujao watapigwa hivyo hivyo, wao kama wanaweza na wao wawe vibaraka ili wawe wanamegewa baadhi ya viti kama ACT Zanzibar. Ila wakijifanya ngangari uchaguzi ujao hawapati hatsa viti maalumu. Wenzao hawatanii na ukileta fyoko unaokotwa ununio
 
Back
Top Bottom