Pre GE2025 CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari. Mbowe kuweka hadharani Azimio la Mtwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi tukisema siyo vya Uhakika wewe sema ni vya uhakika , halafu wananchi waamue
 
Sisi tukisema siyo vya Uhakika wewe sema ni vya uhakika , halafu wananchi waamue
Huu ujinga ukichekewa taifa litaharibika, nimepata tetesi na ccm nao wanataka kuandamana kuyapinga maandamano yenu, sasa huoni hii ni vurugu,
Maandamano yote yapigwe marufuku kwa vyama vyote, CCM NA CHADEMA!
-Kibaya zaidi na CCM wamepanga tarehe hiyo hiyo, sasa unfortunately yagongane, hapa ni maafa waziwazi,
Tufute maandamano kwa wakati huu kwa usalama na amani ya Taifa letu.
 
Kumbe Makonda alikuwa Sahihi Chadema wanataka majimbo yaongezwe
 
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru,ni kero gani ambayo CCM imeitatua!!??

Njoo hapa Masasi uone hali ilivyo mbaya ya barabara tuu,kuongelea kimoja!

Zama za propaganda ya "Mwalimu" kujifungia ikulu na kuwaambia wananchi kutatokea hiki na kile zimepita.
 
No, sitajaribu tena kwasababu aliyepo unatosha, kipindi hiki kati ya sasa na uchaguzi wa 2025, najikita kwenye kupigania haki ya Mtanzania kugombea uongozi na sio sasa haki hiyo imeporwa!.
P
Mungu akubariki sana kwa kuwa na wazo hili.

Mimi nitakuwa wa kwanza kuwa mgombea binafsi ama mgombea wa "CCM" wakiruhusu kila mwanachama kugombea urais.
 
Kuwaagiza diaspora wafuasi wa Chadema Kufanya Maandamo huko waliko duniani maana yake ni nini?

Ni hilo tu

Mlale unono 😄🔥
 
Ndiyo hivyo hivyo ulivyoandika.

Lkn unajua madhara ya maandamano ya chadema ktk upatikanaji wa chochote kwenye bakuli analotembeza mama huko duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…