Mwanahistoria nguli Mohamed Said wa JamiiForums anatukumbusha - ''Zanzibar chini ya utawala Waingereza hapakuwa na wizi wa kura. ASP walikuwa wanashindwa kupitia
gerrymandering. Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi. gerund or present participle:
gerrymandering manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class "
Ramani ikionesha mikoa mipya ya
Simiyu, Geita, Katavi, Njombe, Songwe na ule mpya unaopigiwa chapuo mkoa wa
Chato uanzishwe.
View attachment 2926702
Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?
View attachment 2926703
Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge wengi na kushinda uchaguzi.
Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.