Kumbe Makonda alikuwa Sahihi Chadema wanataka majimbo yaongezwe
HakikaLissu hoja yake ni mfano ikubalike kwa Tanganyika majimbo bunge yalingane idadi ya watu, hiyo ndiyo itafanya kura kuwa una uzito unaolingana. Kwa maneno mengine mipaka ya eneo jimbo bunge linatakiwa kuwa na wapiga kura 300,000 haijalishi ukubwa wa eneo bali idadi ya binadamu.
Mwisho wa ccm umefika rasmi06 March 2024
Mtwara, Tanzania
TUNDU ANTIPAS LISSU AKIJIBU MASWALI
MAJIMBO BUNGE LAZIMA YAWE NA KURA ZENYE UZITO SAWA, AFAFANUA MANTIKI YA UWIANO
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZMaTR6CnEBY
🤣 🤣 🤣Tuone
🤣🤣🤣Uzuri wa teknolojia huwa haivai gagulo.Muda wote unaona utakacho.Bishana na teknolojia uchubuke ulimi.
🤔🙄🔊Maandamano yasiyo na kibali cha polisi ndio yatakayotukomboa watanzania.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
🤔""WAMEPEWA LIFT WANATAKA KUPIGA NA HORN""
°Watanzania sio wajinga kiasi hicho,
°Tumechoka watu ambao kila uchao, wamejawa na uchu, hawapendi kuona taifa likistawi, they are based unto nation negativities!..
How shits are them!?.
CCM, Chapa kazi, tatua kero za watanzania, it's a main key, that frustrate them.
°Umeme wa uhakika
°Maji ya uhakika
°Huduma za afya za uhakika
°masoko ya mazao ya uhakika
°Pembejeo kwa wakati,
~Hawana hoja ya msingi.
---AZIMIO UCHWARA - - -
Mkuu usichanganye mambo kati ya maandamano na vurugu. Maandamano yapo kikatiba tofauti na vurugu. Maandamano sio vurugu!Huu ujinga ukichekewa taifa litaharibika, nimepata tetesi na ccm nao wanataka kuandamana kuyapinga maandamano yenu, sasa huoni hii ni vurugu,
Maandamano yote yapigwe marufuku kwa vyama vyote, CCM NA CHADEMA!
-Kibaya zaidi na CCM wamepanga tarehe hiyo hiyo, sasa unfortunately yagongane, hapa ni maafa waziwazi,
Tufute maandamano kwa wakati huu kwa usalama na amani ya Taifa letu.
Mkuu huwa unapataje picha hasa ya mbele ya maandamano unayotumia kwenye habari yako bila kuwa mbele au kutangulia???Mimi huwa nashiriki sana maandamano yenu ila sikai mstari wa mbele.
P
Mimi niliisha staafu active media siku nyingi toka mwaka 2020, tena siku naacha, nilitangaza rasmi na kuaga rasmi,Mkuu huwa unapataje picha hasa ya mbele ya maandamano inayotumia kwenye habari yako bila kuwa mbele au kutangulia???
Duh tofauti na Tz hii ishu ipo kwenye nchi ipi.?Lissu hoja yake ni mfano ikubalike kwa Tanganyika majimbo bunge yalingane idadi ya watu, hiyo ndiyo itafanya kura kuwa una uzito unaolingana. Kwa maneno mengine mipaka ya eneo jimbo bunge linatakiwa kuwa na wapiga kura 300,000 haijalishi ukubwa wa eneo bali idadi ya binadamu.
Unadhani nini kitatokea mahasimu hawa watakapo kutana? Obviously (GHASIA)Mkuu usichanganye mambo kati ya maandamano na vurugu. Maandamano yapo kikatiba tofauti na vurugu. Maandamano sio vurugu!
Kila mtanzania anahiki ya kuandamana ili mradi amefuata utaratibu.
CCM ina haki ya kuandamana hali kadhalika Chadema!
AiseeeeeeMwanahistoria nguli Mohamed Said wa JamiiForums anatukumbusha - ''Zanzibar chini ya utawala Waingereza hapakuwa na wizi wa kura. ASP walikuwa wanashindwa kupitia gerrymandering. Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi. gerund or present participle: gerrymandering manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class "
Ramani ikionesha mikoa mipya ya Simiyu, Geita, Katavi, Njombe, Songwe na ule mpya unaopigiwa chapuo mkoa wa Chato uanzishwe.
View attachment 2926702
Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?
View attachment 2926703
Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge wengi na kushinda uchaguzi.
Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.
Sawa mkuu..ila kwa mtazamo wako wale wajumbe walitenda haki kwakifupi, The primary elections were free & fair??No, sitajaribu tena kwasababu aliyepo unatosha, kipindi hiki kati ya sasa na uchaguzi wa 2025, najikita kwenye kupigania haki ya Mtanzania kugombea uongozi na sio sasa haki hiyo imeporwa!.
P
Primaries are free and fair kwa mujibu wa utamaduni uliozoeleka, lazima unyooshe mkono, utoe takrima ili ulambwe, mkono mtupu haulambwi!, mimi mkono wangu mfupi au ukiwa na mkono wa birika, unaambulia patupu!Sawa mkuu..ila kwa mtazamo wako wale wajumbe walitenda haki kwakifupi, The primary elections were free & fair??
Sasa mkuu au sijakuelewa vizuri ...unamanisha ili ushinde chaguzi za primary our general election lazima utumie maburuguti ya pesa au bribery? Kama nikweli huwo utamaduni uliozoeleka huoni mda umefika kwa sasa tuoboleshe katiba ili haki zote ziheshimiwe jumla na electoral justice ⚖️ ??Primaries are free and fair kwa mujibu wa utamaduni uliozoeleka, lazima unyooshe mkono, utoe takrima ili ulambwe, mkono mtupu haulambwi!, mimi mkono wangu mfupi au ukiwa na mkono wa birika, unaambulia patupu!
P