the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa wameripotiwa kupelekwa na walimu wao na katika vituo na walipoulizwa kuhusu umri wao, wengi walijibu kuwa wamezaliwa mwaka 2005 na 2006.
Akizungumza kuhusu hali hiyo, kiongozi wa CHADEMA amesema, "Tunawatahadharisha wazazi, watoto hawatapiga kura siku ya tarehe 27 Novemba. Kama chama, tumejiandaa kuwazuia watoto kupiga kura, kwani ni kinyume cha sheria."
Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video