Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa wameripotiwa kupelekwa na walimu wao na katika vituo na walipoulizwa kuhusu umri wao, wengi walijibu kuwa wamezaliwa mwaka 2005 na 2006.
Your browser is not able to display this video.
Akizungumza kuhusu hali hiyo, kiongozi wa CHADEMA amesema, "Tunawatahadharisha wazazi, watoto hawatapiga kura siku ya tarehe 27 Novemba. Kama chama, tumejiandaa kuwazuia watoto kupiga kura, kwani ni kinyume cha sheria."
Unashangaa kuwa haiwexekani watoto wote wakazaliwa mwaka unaofanana
Umri wa kuanza shule uko kisheria kwa hiyo kama walianza mwaka mmoja mfano wakiwa na miaka saba ni obvious miaka 18 watafika kwa pamoja unashangaa nini

Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mrema ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia mchakato wa uandikishaji wa Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 kuwa; "Tunawatahadharisha wazazi, watoto hawatapiga kura siku ya tarehe 27 Novemba. Kama chama, tumejiandaa kuwazuia watoto kupiga kura, kwani ni kinyume cha sheria."