CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

Tatizo si kuwapokea, tatizo ni kuwapa nafasi kubwa za uongozi mara tu walipokuja CHADEMA. Kwa mawazo yangu, hata Membe akitaka kuja CHADEMA aje ila awe mwanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine.
Kwa hiyo unapingana na hitimisho la viongozi wako wa CHADEMA!
 
Kwa hiyo unapingana na hitimisho la viongozi wako wa CHADEMA!
. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.
 
Completely poor reasoning. Kuangalia muundo wa chama na kuona unafanana sio hoja kuwa vyama vinafanana.
Kuna tofauti kubwa kwenye katiba zao na Sera, na hill ndio muhimu


Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti iliyopo kwenye katiba ni maneno tu lakini muundo wake uko sawa!

Unaongelea sera? CHADEMA wana sera gani? Maneno ya kwenye makaratasi ndio unadhani ni sera!

Ninaongea uhalisia na sio nadharia za kwenye makaratasi ya CHADEMA.
 
Lowassa was an asset, mvuto wake uliongeza idadi ya wabunge, ukaongeza idadi ya kura za mgombea urais kushinda alizopata Slaa, kuhusu hao wanaokimbilia CCM ni njaa zao tu, wanaogopa mapambano wakiwa upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomleta Lowassa CHADEMA wanatuambia hakuleta manufaa katika chama halafu wewe ambaye ni mfuasi ''maandazi'' unadai alikuwa asset!

Tanzania kuna vituko!
 
. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.
Hujasikia kiongozi wako anasema kuwa wanaohamia CCM kutoka CHADEMA walikuwa ni wana CCM!
 
Waliomleta Lowassa CHADEMA wanatuambia hakuleta manufaa katika chama halafu wewe ambaye ni mfuasi ''maandazi'' unadai alikuwa asset!

Tanzania kuna vituko!
Utakuwa na tatizo la ubongo kujaa matope kushindwa kuona kama idadi ya wabunge wa CDM haikuongezeka baada ya ujio wa Lowassa, na utakuwa na mtindio wa ubongo kama utashindwa kutambua idadi ya kura alizopata Lowassa ilizidi zile alizopata Slaa 2010, wewe ni vuvuzela tu ulieletwa na upepo wa dikteta uchwara, siku akiondoka na wewe utaondoka!.

Una ushabiki wa kike kuchagua kinachokufurahisha halafu unajidai huuoni ukweli ulio dhahiri. Lowassa was an asset.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini mlimtukana Dr Slaa?,wakati anauliza Ngoyai ni Assets au liability?
MsemajiUkweli, Lazima tuukubali ukweli, kumchukua Lowasa na kumfanya mgombea wa Urais lilikuwa kosa kubwa.

Lile lilikuwa funzo kubwa. Badala ya kuendelea kulalamika na kujilaumu, ni vema kuutumia uzoefu huo kwaajili ya kusonga mbele.

Binafsi siyo mfia CHADEMA lakini ni vema kama Taifa kuwa na chama imara cha upinzani, na kwa sasa hakuna kingine zaidi ya CHADEMA. Chama hiki ndiyo pekee chenye watu waliojitoa kikamilifu katika kujenga nchi yenye demokrasia na kuoinga mfumo wa usultani ambao umeota mizizi.
 
Sasa kinajifia tu,hakuna namna
MsemajiUkweli, Lazima tuukubali ukweli, kumchukua Lowasa na kumfanya mgombea wa Urais lilikuwa kosa kubwa.

Lile lilikuwa funzo kubwa. Badala ya kuendelea kulalamika na kujilaumu, ni vema kuutumia uzoefu huo kwaajili ya kusonga mbele.

Binafsi siyo mfia CHADEMA lakini ni vema kama Taifa kuwa na chama imara cha upinzani, na kwa sasa hakuna kingine zaidi ya CHADEMA. Chama hiki ndiyo pekee chenye watu waliojitoa kikamilifu katika kujenga nchi yenye demokrasia na kuoinga mfumo wa usultani ambao umeota mizizi.
 
. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.
Kwani hujui kabla hajahama CHADEMA kuja SSSM anafika bei kabisa la cheo au pesa , sasa akae muda kwa kigezo kipi wakati walishapeana ahadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom