Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Hiyo ni CCM..nani alikuambia CCM imebadilika?punguza jazba za kike.
Kamati kuu ya CCM sasa hivi inalamba miguu ya Sumaye,Lowasa, Rostam nk.
Hiyo ni CCM..nani alikuambia CCM imebadilika?punguza jazba za kike.
Kamati kuu ya CCM sasa hivi inalamba miguu ya Sumaye,Lowasa, Rostam nk.
wewe ni mwanaCCM,Hiyo ni CCM..nani alikuambia CCM imebadilika?
Wapuuzi wote Hawa..imewachukua miaka minne kuliona hili. Kamati Kuu ijuzulu kwanza!
Hahaaaaa mnalo. Kinyesi kimeshakauka wala hakina harufu Kwa sasa yote imebaki kwenye Nguo zenu fuuuuuuuuuuDr Slaa huyohuyo unaye Fanya rejea ndiye alisema wakati kapokewa Lowassa kuwa Chadema imetoa kinyesi (Eddo) chooni (CCM) na kukileta Chumbani (Chadema).
Tunasubiri kauli yake mahsusi kuwa Kinyesi (Eddo)kimetolewa chumbani (Chadema) na kurudishwa chooni (CCM).
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako kuwa CHADEMA kimuundo ni sawa na CCM, unaweza kuwa sahihi lakini kusema kwamba mapenzi yangu kwa CHADEMA yananifanya niwe kipofu, hupo sahihi.Baada ya kuyasoma maandiko yako haya''Chama hiki ndiyo pekee chenye watu waliojitoa kikamilifu katika kujenga nchi yenye demokrasia na kuoinga mfumo wa usultani ambao umeota mizizi'', nimehitimisha kuwa inawezekana wewe sio mfia CHADEMA lakini mapenzi yako kwa CHADEMA yanakupa upofu wa kutotambua kuwa muundo wa CHADEMA kikatiba ni copy & Paste ya muundo wa CCM.
Chama ambacho kikatiba kinafanana na chama ambacho kiko madarakani hakiwezi kuwa chama kikuu cha upinzani chenye matokeo tofauti na yale yanayofanywa na chama tawala. Tofauti ya chama tawala na CHADEMA ni majina tu ya viongozi na kutokuwa madarakani lakini utendaji kazi wake ni sawa.
Hii sio kauli yake bali kauli ya CHADEMA!Hiyo ni kauli yake mie sijui ukweli ni upi hivyo no comment.
Mbowe anayatafuna hayo mabilioni kwa raha zake.Chadema hawakikosea kumchua lowassa. Kwani tumevuna ruzuku kupitia yeye interms of billions...