MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
-
- #21
Ukweli una tabia moja nzuri sana. Haujali mkubwa wala mdogo. Haujali adui wala rafiki. Kwake wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa!Wapuuzi wote Hawa..imewachukua miaka minne kuliona hili. Kamati Kuu ijuzulu kwanza!
Labda ametumwa na wenye CHADEMA kama chambo!Hayo sio maoni ya mwenyekiti mwenye maamuzi ya mwisho.
Kwa hiyo unapingana na hitimisho la viongozi wako wa CHADEMA!Tatizo si kuwapokea, tatizo ni kuwapa nafasi kubwa za uongozi mara tu walipokuja CHADEMA. Kwa mawazo yangu, hata Membe akitaka kuja CHADEMA aje ila awe mwanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine.
Hilo gazeti la kufungia vitumbua, hujiulizi kwanini magazeti yanayoeleweka hayajaripoti huo utoto wenu?Mbowe na Lisu tuliwaonya wakapuuza Leo wazee nao wanahundua Dr Slaa alikuwa sahihiView attachment 1377386
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee waambie wenzio muache kutuma walevi kwenye mikutano ya Mbowe.Wapuuzi wote Hawa..imewachukua miaka minne kuliona hili. Kamati Kuu ijuzulu kwanza!
. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.Kwa hiyo unapingana na hitimisho la viongozi wako wa CHADEMA!
Tofauti iliyopo kwenye katiba ni maneno tu lakini muundo wake uko sawa!Completely poor reasoning. Kuangalia muundo wa chama na kuona unafanana sio hoja kuwa vyama vinafanana.
Kuna tofauti kubwa kwenye katiba zao na Sera, na hill ndio muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Mbowe na Lisu tuliwaonya wakapuuza Leo wazee nao wanahundua Dr Slaa alikuwa sahihiView attachment 1377386
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa wameshindwa kuuficha ukweli!
Waliomleta Lowassa CHADEMA wanatuambia hakuleta manufaa katika chama halafu wewe ambaye ni mfuasi ''maandazi'' unadai alikuwa asset!Lowassa was an asset, mvuto wake uliongeza idadi ya wabunge, ukaongeza idadi ya kura za mgombea urais kushinda alizopata Slaa, kuhusu hao wanaokimbilia CCM ni njaa zao tu, wanaogopa mapambano wakiwa upinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasikia kiongozi wako anasema kuwa wanaohamia CCM kutoka CHADEMA walikuwa ni wana CCM!. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.
Hiyo ni kauli yake mie sijui ukweli ni upi hivyo no comment.Hujasikia kiongozi wako anasema kuwa wanaohamia CCM kutoka CHADEMA walikuwa ni wana CCM!
Utakuwa na tatizo la ubongo kujaa matope kushindwa kuona kama idadi ya wabunge wa CDM haikuongezeka baada ya ujio wa Lowassa, na utakuwa na mtindio wa ubongo kama utashindwa kutambua idadi ya kura alizopata Lowassa ilizidi zile alizopata Slaa 2010, wewe ni vuvuzela tu ulieletwa na upepo wa dikteta uchwara, siku akiondoka na wewe utaondoka!.Waliomleta Lowassa CHADEMA wanatuambia hakuleta manufaa katika chama halafu wewe ambaye ni mfuasi ''maandazi'' unadai alikuwa asset!
Tanzania kuna vituko!
Too little, too late.Wapuuzi wote Hawa..imewachukua miaka minne kuliona hili. Kamati Kuu ijuzulu kwanza!
Same like me.Kama CHADEMA ITAMSIMAMISHA LISSU NTAMPIGIA KAMPENI NA KUMPA KURA YANGU!!!
MsemajiUkweli, Lazima tuukubali ukweli, kumchukua Lowasa na kumfanya mgombea wa Urais lilikuwa kosa kubwa.
Lile lilikuwa funzo kubwa. Badala ya kuendelea kulalamika na kujilaumu, ni vema kuutumia uzoefu huo kwaajili ya kusonga mbele.
Binafsi siyo mfia CHADEMA lakini ni vema kama Taifa kuwa na chama imara cha upinzani, na kwa sasa hakuna kingine zaidi ya CHADEMA. Chama hiki ndiyo pekee chenye watu waliojitoa kikamilifu katika kujenga nchi yenye demokrasia na kuoinga mfumo wa usultani ambao umeota mizizi.
MsemajiUkweli, Lazima tuukubali ukweli, kumchukua Lowasa na kumfanya mgombea wa Urais lilikuwa kosa kubwa.
Lile lilikuwa funzo kubwa. Badala ya kuendelea kulalamika na kujilaumu, ni vema kuutumia uzoefu huo kwaajili ya kusonga mbele.
Binafsi siyo mfia CHADEMA lakini ni vema kama Taifa kuwa na chama imara cha upinzani, na kwa sasa hakuna kingine zaidi ya CHADEMA. Chama hiki ndiyo pekee chenye watu waliojitoa kikamilifu katika kujenga nchi yenye demokrasia na kuoinga mfumo wa usultani ambao umeota mizizi.
Kwani hujui kabla hajahama CHADEMA kuja SSSM anafika bei kabisa la cheo au pesa , sasa akae muda kwa kigezo kipi wakati walishapeana ahadi. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.