CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

Kweli kabisa,leo genge la wakora wa chadema linajitokeza na kusema hakua na msaada kwa chama.
Dhambi hii lazima wamalize ,hapo ndipo watajua umuhimu wa huyo mzee
Lowassa was an asset, mvuto wake uliongeza idadi ya wabunge, ukaongeza idadi ya kura za mgombea urais kushinda alizopata Slaa, kuhusu hao wanaokimbilia CCM ni njaa zao tu, wanaogopa mapambano wakiwa upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaurii wako kwa hiyo tuongozwe na jeshi au
 
Mtoto uliyemzaa huwezi kumkataa hata kama ni asset or liability!

Lowassa amekuwa TANU/CCM katika maisha yake yote ya kisiasa na kwa sababu hiyo ni kama mtoto ndani ya CCM. Ndio maana Lowassa alisema anarudi nyumbani!
Amerudi kulinda Mali zake
 
Noted
 
Umewezaje kupima utendaji?C.C.M ipo madarakani since 1961,CHADEMA HAIJAWAHI kuwa madarakani[emoji54][emoji54]sasa umetumia vigezo gani kupima utendaji??
Hebu tuwekee tangible evidences kuwa CCM na CHADEMA ni walewale afu utupe na nini cha kufanya ili tuikkomboe nchi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo si kuwapokea, tatizo ni kuwapa nafasi kubwa za uongozi mara tu walipokuja CHADEMA. Kwa mawazo yangu, hata Membe akitaka kuja CHADEMA aje ila awe mwanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine.

Sio mwanachama wa kawaida tu, awe anambebea Mnyika bag.
 
These guys are very stupid and very disappointing. Kipindi kile Dr. Slaa alipoweka sharti kuwa "anayesajiliwa" afanyiwe upembuzi ikiwa ni asset au liability mlimtusi na kumpachika kila aina ya dhihaka. Tuliopinga tukatukanwa kwenye mitandao na "genge" lake la 'For You Movement'!.

Leo mmevuruga upinzani na kuudhoofisha kwa "biashara" zenu za 2015, ndiyo genius wenu mkwepa kodi kawapa "new deal"?

Chadema ni chama cha kipuuzi sana na sitegemei kitawahi kuja kuwa na nguvu kufikia ile ya kabla ya 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi hawa. Wameivuruga wenyewe safari yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujijenga kikamilifu katika kujenga nchi kwapaswa kwenda sambamba na kuwa na mipango sahihi na thabiti ya kukiwezesha chama kuchukua serikali. Bali kutokuwa na mipango thabiti hususani kuhusu taratibu sahihi na nadhifu za kupata mgombea wa uraisi ni harufu ya kuwa kuna figure(s) hutumia chama kujinufaisha (rejea biashara ya Lowasa na "mabilioni" yake).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

DHARAHU HIZI MKUU!
 
Sasa hivi amerudi nyumbani je na huko kwenu mnamuonaje? ni asset au liability?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asset ya CCM yaweza kuwa liability upinzani & vice versa. Kwa wakati ule CCM walimwona liability nyinyi mkamwona asset. CCM kajirudisha mwenyewe wakiwa hawahitaji kujiuliza tena hilo swali. Sana sana kawa asset kwa kurejea kwao na masalia yake aliyokuwa nayo huko kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasubiri atoe kauli yeye kama nani CCM? Alikwisha kustaafu siasa za vyama. Aliwaachia nyinyi ambao mwanaccm "akionewa" mnamkirimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo si kuwapokea, tatizo ni kuwapa nafasi kubwa za uongozi mara tu walipokuja CHADEMA. Kwa mawazo yangu, hata Membe akitaka kuja CHADEMA aje ila awe mwanachama wa kawaida kama mwanachama mwingine.
Hawezi kwenda kwenye chama ambacho hakitampa nafasi ya kugombea urais. Sasa si ni aheri abaki ccm nyumbani kwake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinazungumziwa "cheo" kinachoamua mustakabali wa nchi. CCM waweza kuwa tayari kuchukua wabunge na madiwani wote wa upinzani na kuwahakikishia hizo nyadhifa zao ila take it from me, hakuna siku watachukua namba yoyote upinzani na kuipa nafasi ya uraisi. Ni chadema tu wanaweza fanya huo upuuzi.
. Kabisaa!! Nina mawazo yangu binafsi. Na ndio kosa wanalofanya CCM mtu anatoka CHADEMA basi unampa kipa umbele katika nafasi za uongozi. Mwache asote kwanza ijulikane Kama kafuata cheo au amekuwa muumini wa CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…