Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kwa hayo masharti Chadema hawati mdahaloMakonda wangempuuza tu.
Wamekataa mdahalo indirect way... Masharti hayo ndio yanawekewa mdahalo halafu wanataka masharti yao yatatuliwe wao kuweza?!Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Sikutaka kabisa hata wamjibu. CCM ingeupeta ujumbe kuwa kwrnye mafasi imeweka mtu wa kupuuzwa.Sijui kwa nini wamemjibu!
Swali la kujiuliza, alichokisema Makonda ni Maelekezo ama mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi?....ama na Propaganda na mbwembwe zake kama Namba moja propagandist wa CCM?..kawa-beep na wao wamempigia.
..mdahalo ni nafasi ya wao kueleza sera zao kwa umma.
..usifikiri mwenyekiti wa kamati ya bunge na Spika walikuwa wajinga kuwauzia Chadema wasiwasilishe hoja zao kule bungeni.
..Mfano mdogo, Makonda atakuja na hoja gani kushawishi kuwa Wakurugenzi ambao ni makada wa Ccm watasimamia uchaguzi kwa haki?
..haya mambo yakifanyika kwa uwazi Ccm haiwezi kushinda.
Swali la kujiuliza, alichokisema Makonda ni Maelekezo ama mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi?....ama na Propaganda na mbwembwe zake kama Namba moja propagandist wa CCM?
Nafikiri CHADEMA wamekurupuka. Makonda alipaswa kujibiwa katika majukwaa na makada ya Chama hicho na sio kulichukulia seriously jambo hili la kitoto!
Hakuna anayeweza kupoteza muda kukaa na Makonda kwenye mdahalo hasa eti kwa vichwa kama Mnyika, Lissu na Mbowe. Inafanyika ivyo ni kama mtego kwa sababu inajulikana wazi hakuna mdahalo utakao fanyika COZ CCM inaenda kuaibika aidha wakikataa au hata wakikubali hawezi kwenda Makonda.Kuna watu humu ambao ni wanachadema walisema chama chao hakiwezi kufanya mdahalo na makonda kwa sababu yeye ni mtu mdogo sana kwao hvy wanamtaka rais, sasa leo chadema wapo tayari kwa huo mdahalo haya sasa utakuja kuwasikia wale wale waliosema hawamtaki makonda ndio watakaosema wanataka mdahalo nae na hiyo ndio hasara ya kushabikia sehemu ambayo huna maamuzi napo.
Kwahy unapingana na chadema yako.?Hakuna anayeweza kupoteza muda kukaa na Makonda kwenye mdahalo hasa eti kwa vichwa kama Mnyika, Lissu na Mbowe. Inafanyika ivyo ni kama mtego kwa sababu inajulikana wazi hakuna mdahalo utakao fanyika COZ CCM inaenda kuaibika aidha wakikataa au hata wakikubali hawezi kwenda Makonda.
Wote tupo hapa utaona nani kaaibisha taasisi yake.
Ukisoma vizuri utanielewa nilichoandika.Kwahy unapingana na chadema yako.?
Sawa, kuwa makini usije kujikuta kwenye pipa la takaNimeandaa Mabango yangu kwa ajili ya Maandamano.
Na mimi nimeona hilo,Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
why yasiwezekaneUkisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Unazo akili kweli ulitaka ulaini kwa ajili ya mpuuzi mwenezi au.why yasiwezekane
Sio hayatawezekana, sema sio rahisi ccm kuyakubali maana hawana dhamira ya dhati. Au huo mdahalo utakuwa ni wa kuchambana?Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Kabisa, kujibizana na huyo muhalifu ni kumsafisha kisiasa.Hakupaswa kujibiwa mjinga yule polojo zake awafanyie kina baba levo na mwijaku sisi tuna mambo siliazi hapa