Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Kawatoa tayari. Si umemuona Leo katika press yake!?..Makonda hajamtoa mtu yeyote ktk kujadili au kutamani Tume Huru au Katiba Mpya.
CHADEMA wakubali wamekosea Kumjibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawatoa tayari. Si umemuona Leo katika press yake!?..Makonda hajamtoa mtu yeyote ktk kujadili au kutamani Tume Huru au Katiba Mpya.
Kawatoa tayari. Si umemuona Leo katika press yake!?
CHADEMA wakubali wamekosea Kumjibu
Kwa nini CHADEMA imjibu Mjinga?..umesikiliza majibu yake?
..hujaona anavyoji-expose kuwa ni mjinga.
..Na hapo yuko peke yake, akikutana ana kwa ana kwa ana na mtu wa upinzani hataweza kusimama kwa hoja.
Kwa nini CHADEMA imjibu Mjinga?
Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana
Hii ni kumdhalilisha Mh Lisu, nadhani Makonda atafutiwe mtu mwengine kama Yeriko Nyerere au Martin MaranjaPaul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE ana akili gani za kuweza kujenga hoja mbele ya Tundu Lissu a.k.a Jembe Ulaya?
Mkuu, nikusahihishe mstari wa mwisho. Ni kwamba anajua kusoma (read)lakini haelewi maana ya anachosoma(contents and coontext)...hizo sio conditions.
..kunapokuwa na mdahalo lazima hoja zinazojadiliwa ziwekwe wazi.
..Cdm wameweka hoja zao mezani na wamesema wako tayari kwa mdahalo.
..Vyeti feki vya Makonda vinaanza kujidhihirisha maana ameshindwa kusoma taarifa na kuielewa.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte